Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

Mke wako unaweka guarantee kabisa eti atakuzika? Seriously? Mke? Mtu mmekutana ukubwani tu tena baada ya kuona mambo yako yamenona. Siku ukiwa mkubwa utaelewa umuhimu wa ndugu.

Kuna thread ililetwa humu mke kamkimbia mume kisa jamaa anaumwa hoi.
Leo hii ukiwa pale kitandani unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakayekuja kukusafisha, chukulia una miaka 50?
 
Technically [emoji777]

Techniques [emoji736]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu atakusaidia tu hata kwa kusimangwa na majirani au viongozi wa dini lakini sio mke. Mke hana guarantee.
Kuna 'case study' nyingi sana hapa duniani; ndio maana unavyotafuta mke/mme unatakiwa uwe makini sana, kwa sababu huyo ndio ndugu yako utakayekufa naye.
Dada yako hawezi kumuacha mume wake aje akuuguze wewe, Kaka yako hawezi kuacha mke wake aje akuuguze wewe.​
 
Mke wako unaweka guarantee kabisa eti atakuzika? Seriously? Mke? Mtu mmekutana ukubwani tu tena baada ya kuona mambo yako yamenona. Siku ukiwa mkubwa utaelewa umuhimu wa ndugu.

Kuna thread ililetwa humu mke kamkimbia mume kisa jamaa anaumwa hoi.
Fatilia kesi nyingi za mirathi uone jinsi Ndugu wanavyonyanyasa Watoto na Mke baada ya wewe Me kufariki ndipo utaelewa Ndugu zako si Watu ukishakufa.

Mke ana asilimia kubwa sana kuendeleza kizazi chako (Watoto wako) kuliko Ndugu, nina uzoefu kwa mifano mingi sana niliyoshuhudia katika Jamii.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Haki ya annate na yule mwanae itapatikana tu hata ichelewe vipi. Hata atumie hela vipii damu ya yule dada na mauaji yale ya mateso ya kuchinjwa kama kuku haitapotea kamwe
Kabisa...Haki yake itapatikana tu...
Aneth alivyokuwa mzuri jamani...

Kuna mtu ni jirani yake Kibada alinielezea ile siku mauaji yametokea anasema hata kelele hawakusikia...
 
zaidi ya nyege mshindo hakuna lingine
Bi Miriam Msuya hapo anawafunza vyema, mmoja wa mifano hai kabisa ya ngoma zinazorindima ndoani, kimya kimya
Alikuwa anapambania mali alizochuma na mumewe dhidi ya ndugu walafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…