Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Maamuzi hayatolewi kwa hisia, bali kwa logic; mfano,Hivi wanasheria wanamteteaje mtu ambae wanajua ni muuaji
Nao si wataingia kwenye hatia ya hiyo damu .🤨
Sasa angeolewa si at least Bwana angemuokoa?mke kakodi hit squad kaua mme sababu ya Mali
mke kaua tena dada wa mme
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Uliyeokota naye kuni, ndio mtakayeota naye moto kipindi cha baridi; chukua hiyo.Hawezi kuja kukuuguza kwako lakini wengi wanachukuliwa na kuugulia nyumbani kwa kaka au dada. Hii ipo sana tu. Mke ni muhimu lakini sio guarantee ya 100%
Kwa nini wanaume wanakufa haraka?🙂 🙂 siyo mimi ndiyo nimtunze ?
maana mimi ndiyo provider
Sasa, kati ya spouse uliyekutana naye ukubwani na kaka/dada yako wa tangu utotoni, ni nani umepitia naye mengi mema na mabaya??Uliyeokota naye kuni, ndio mtakayeota naye moto kipindi cha baridi; chukua hiyo.
Chukua hii; ndugu ni adui mkubwa kwa kizazi chako (hasa ndugu wa upande wa baba)Mimi pia nina mifano mingi ya jinsi ndugu wanavyosaidiana kuliko mke (rafiki wa ukubwani)
Una mke kwanza?Sasa, kati ya spouse uliyekutana naye ukubwani na kaka/dada yako wa tangu utotoni, ni nani umepitia naye mengi mema na mabaya??
Ndugu ni siblings wako (wale wa tumbo moja)Chukua hii; ndugu ni adui mkubwa kwa kizazi chako (hasa ndugu wa upande wa baba)
😄 😄 majibu wanayo kina Miriam,Kwa nini wanaume wanakufa haraka?
Wakishaanzisha familia zao, wanajikita kwa watoto wao na wapenzi wao; wewe unaachwa kwa kujifariji ni ndugu zako.Ndugu ni siblings wako (wale wa tumbo moja)
Hujajibu swali, gunia la mchele lenye kilo mia moja, lina punje ngapi za mchele?😄 😄 majibu wanayo kina Miriam,
unawekewa reagent kwenye chakula, taratib inakuondoa
Hii inatokea kama ndugu wa mume ni wachovu ila kwa Erasto alikuwa na dada yake alikuwa yuko njema Australia. Na wazazi wake Erasto walikuwa njema.Fatilia kesi nyingi za mirathi uone jinsi Ndugu wanavyonyanyasa Watoto na Mke baada ya wewe Me kufariki ndipo utaelewa Ndugu zako si Watu ukishakufa.
Mke ana asilimia kubwa sana kuendeleza kizazi chako (Watoto wako) kuliko Ndugu, nina uzoefu kwa mifano mingi sana niliyoshuhudia katika Jamii.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kina Miriam wana majibu:Hujajibu swali, gunia la mchele lenye kilo mia moja, lina punje ngapi za mchele?
Ndiyomaana hata hapo sasa hivi akiumwa au akikwama kwa namna yoyote ile Ndugu wa Mama (Ujombani) ndiyo huwa karibu sana kutoa msaada iwezekanavyo.Chukua hii; ndugu ni adui mkubwa kwa kizazi chako (hasa ndugu wa upande wa baba)
We mkataa ndoa unatafuta uhalali wa kutokuoa; ukifika miaka 55+ utatuletea majibukina Miriam wana majibu:
1. kuna njia ya fasta fasta, aliyokumbana nayo bwana Msuya
2. alaf kuna ile ya taratib, anayokumbana nayo Equation X
Undugu upo kwenye DNA mkuu. Huo haufi milele. Mtagombana lakini kuna siku mtaongea tuWakishaanzisha familia zao, wanajikita kwa watoto wao na wapenzi wao; wewe unaachwa kwa kujifariji ni ndugu zako.
Yule ni mkataa ndoa 😀Ndiyomaana hata hapo sasa hivi akiumwa au akikwama kwa namna yoyote ile Ndugu wa Mama (Ujombani) ndiyo huwa karibu sana kutoa msaada iwezekanavyo.
Aendelee tu kukaza fuvu hadi yatapomkuta ndipo ataamini tunachonena.
Labda Jamaa aliangukia pua akaoa "fake wife material" akapigwa na kitu kizito, nani ajuaye?
Maana "Si kila Mwanamke ni Mke."
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
nifike huo umri natafuta nini aiseeukifika miaka 55+
NAKAZIAUndugu upo kwenye DNA mkuu. Huo haufi milele. Mtagombana lakini kuna siku mtaongea tu