Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Paul kama Po
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ni taratibu zinataka hivyo!Ha ha ha ha .maigizo haya,yaani mahakama imeshindwa kumpata ,Hadi waombe gazeti liwatafutie makonda.maigizo haya,ukiona hivyo hapo hakuna kesi ni Kiki tu!!
Huyo atakua abroad , watumie Interpol,,Nyumbani kwa Baba yake Igoma wamefika?
Kuna wataalamu wanaweza ku geolocate hii picture,, watangaze dau
Ahahh,Sasa mnataka rais aingilie muhimili wa mahakama, siameshtakiwa na mtu binafsi hataivyoUkitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Ataaibika huyo kubenea na waliomtuma"D.A.B ANATAFUTWA NA POLISI YEYOTE ATAKAYEMUONA ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU NAE ZAWADI NONO ITATOLEWA"
Itasomeka kwenye ukurasa za mbele kabisa za magazeti zikiambatana na picha yake akiwa analia
View attachment 2112488
Kama kuna zawadi ngoja niingie chimbo kumtafuta"D.A.B ANATAFUTWA NA POLISI YEYOTE ATAKAYEMUONA ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU NAE ZAWADI NONO ITATOLEWA"
Itasomeka kwenye ukurasa za mbele kabisa za magazeti zikiambatana na picha yake akiwa analia
View attachment 2112488
Huyo atakua abroad , watumie Interpol,,
Kama kaondoka kwa njia ya panya, lazima record ya exit utaipata Nairobi airport au south africa
www.cfr.org
Parting of Ways: Secretary Pompeo Announces Sanctions on Tanzania
20 Jan 2021 — On January 19, U.S. Secretary of State Michael Pompeo—on his last ... the Trump administration announced sanctions against Paul Makonda, ...
![]()
Huu ujumbe umfikie kingai, mahita,jumanne,gudlack nk.Dunia inaenda kasi mno. Mambo yanabadilika kwa spidi ya ajabu sana.
Mambo kama haya yanapaswa yawe funzo kwa wale wote wanaohisi madaraka ni ya milele.
Siku huyu nyamitako aka Bashite atakapopanda kizimbani kwa mara ya kwanza itakuwa ni faraja kwa familia za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Mo Dewji nkDunia inaenda kasi mno. Mambo yanabadilika kwa spidi ya ajabu sana.
Mambo kama haya yanapaswa yawe funzo kwa wale wote wanaohisi madaraka ni ya milele.
Na Mimi nakazia madaraka hayamfai mtu mshambaKiongozi umeongea point tupu vijana wanaobahatika kupewa dhamana wasilewe madaraka kuna leo na kesho
Ameacha wajane na yatima wengi wakilia kwa matendo yake maovu kwa kuwanyima haki ya kuishi waleta mkate nyumba baada ya kumuua mama kuku.Siku huyu nyamitako aka Bashite atakapopanda kizimbani kwa mara ya kwanza itakuwa ni faraja kwa familia za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Mo Dewji nk