Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Kwani hakuvamia clouds,
 
Dunia hii inakwenda mbio, watetezi wake wapo kimya kabisa tofauti na mwanzo wa kesi ya kiongozi mwenzake aliyekuwa DC wa Hai mkoa wa Kilimanjaro.

Sijui tatizo ni nini wanaLumumba na gang zima wamekuwa watulivu sana kuhusu kumtetea huyu mkuu wa mkoa wa zamani Paul Makonda.
Vocha wapate wapi hali paymaster wao alishakufa
 
Bashite lazima wakuminye pumb* mwaka huu kama ulivyo kuwa unawaminya
 
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi 2022.

Pia soma > Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Shauri hilo limetajwa kufuatia Mahakama hiyo kushindwa kusikiliza hapo awali baada ya shughuli kuingiliana.

Akamatwe
 
Siamini kinachotokea, yaani ubabe ule wote jamaa anaogopa kujitokeza mahakamani. Hizi ni dalili za kudhibitisha tuhuma kutokana na alichokifanya. Poor Makonda dunia ipungeze speed aisee looh.
 
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi 2022.

Pia soma > Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Shauri hilo limetajwa kufuatia Mahakama hiyo kushindwa kusikiliza hapo awali baada ya shughuli kuingiliana.

Atawageuka kwamba yeye siyo Paulo Makando🤣
 
Back
Top Bottom