Ahahh,Sasa mnataka rais aingilie muhimili wa mahakama, siameshtakiwa na mtu binafsi hataivyo
 
Dunia hii inakwenda mbio, watetezi wake wapo kimya kabisa tofauti na mwanzo wa kesi ya kiongozi mwenzake aliyekuwa DC wa Hai mkoa wa Kilimanjaro.

Sijui tatizo ni nini wanaLumumba na gang zima wamekuwa watulivu sana kuhusu kumtetea huyu mkuu wa mkoa wa zamani Paul Makonda.
 
Huyo atakua abroad , watumie Interpol,,
Kama kaondoka kwa njia ya panya, lazima record ya exit utaipata Nairobi airport au south africa

Tatizo taifa kubwa la Marekani nao wana mtambua ktk orodha yao ya watu waliofanya uhalifu dhidi ya binadamu na kutishia haki ya uhai wa wengine.

Hivyo kukimbilia nje ya nchi ni mtihani pia kwa Paul Makonda.



www.cfr.org
Parting of Ways: Secretary Pompeo Announces Sanctions on Tanzania


20 Jan 2021 — On January 19, U.S. Secretary of State Michael Pompeo—on his last ... the Trump administration announced sanctions against Paul Makonda, ...
 
Ndumba mbaya sana hasa zinapoexpire ndo maana Mimi nimeamua kutegemea akili zangu na sio za mganga. Mganga kwenye shida anakukimbia. Wapo wapi waganga wake wamnusuru na laws of karma.
 
Dunia inaenda kasi mno. Mambo yanabadilika kwa spidi ya ajabu sana.
Mambo kama haya yanapaswa yawe funzo kwa wale wote wanaohisi madaraka ni ya milele.
Siku huyu nyamitako aka Bashite atakapopanda kizimbani kwa mara ya kwanza itakuwa ni faraja kwa familia za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Mo Dewji nk
 
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi 2022.

Source: Mwanahalisi Digital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…