Nakuelewa maana maovu waloyofanya wakubwa wote kama hawakuhusika angalau walijua.Nobody has the guts to put this dude under arrest. So far, he’s still untouchable.
Kumkamata na kumfunga Bashite nchi itaanguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuelewa maana maovu waloyofanya wakubwa wote kama hawakuhusika angalau walijua.Nobody has the guts to put this dude under arrest. So far, he’s still untouchable.
🤣🤣🤣🤣nchi hii kila mtu atakuwa nabii sasa.Mtu msafi aogopi mahakama. Naona unabii wa chidi benzi unatimia
IGP huyu huyu??Huyo atakua abroad , watumie Interpol,,
Kama kaondoka kwa njia ya panya, lazima record ya exit utaipata Nairobi airport au south africa
Wamemficha atapotea kama balali Ili kuficha maovu ya wakubwa wakiruhusu akamatwe atamwaga mboga yote.Nakuelewa maana maovu waloyofanya wakubwa wote kama hawakuhusika angalau walijua.
Kumkamata na kumfunga Bashite nchi itaanguka.
Ni matumaini yangu ombi lako litafanyiwa kaziMahakama itangaze dau dakika tu anapatikana
Kweli aiseee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]upuuzi mwengine huu!!!
Hizo mtu izo zitalipa one dayHuu ujumbe umfikie kingai, mahita,jumanne,gudlack nk.
🤣🤣🤣Wamemficha atapotea kama balali Ili kuficha maovu ya wakubwa wakiruhusu akamatwe atamwaga mboga yote.
Jipe moyo!! toka lini mahakama ndio inayomtafuta mtuhumiwa, utaratibu wa kisheria uko wazi pale mtuhumiwa anaposhindwa kuonekana mahakamani, hizo ndizo taratibu zilizopo!!kweli maisha haya yaani makonda ndani ya mwaka mmoja tu ni wakuishi kama digidigi, leee fieldmarshal!!Ha ha ha ha .maigizo haya,yaani mahakama imeshindwa kumpata ,Hadi waombe gazeti liwatafutie makonda.maigizo haya,ukiona hivyo hapo hakuna kesi ni Kiki tu!!
Mama mwenyewe ni walewale,huoni anavyoufumbia macho upigaji wa kina Makamba.Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
DuhAnashindwa kwenda sababu ya jina, mkienda KOLOMIJE mkamtafuta Paul makonda hawamjui, inabidi muuliza Daudi Bashite, na hati inasema Makonda.
Wapo Wazee wa kazi, wanasubiri muda tu!Mahakama itangaze dau dakika tu anapatikana
😁😁😁😁😁😁Hata baba alifoji jina hajulikani
Hakuna mtu anayemficha Makonda, kwa kuwa aliyekuwa anamtuma kufanya uovu ni Mwendazake ambaye ametangulia Jehanam.Wamemficha atapotea kama balali Ili kuficha maovu ya wakubwa wakiruhusu akamatwe atamwaga mboga yote.
Na hapa huu ni mtego mkubwa sana Kwa Mahakama.Anachotaka kuonyesha hapa ni kwamba yeye haguswi na Wala hakuna Cha kumfanya.Mimi siamini hata kidogo kwamba yeye hajui kama anatafutwa na Mahakama.Ni jeuri hiyo hiyo ndiyo aliitumia kufanya Yale aliyoyafanya mpka Leo anatafutwa na Mahakama.Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi 2022.
Pia soma > Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022
Shauri hilo limetajwa kufuatia Mahakama hiyo kushindwa kusikiliza hapo awali baada ya shughuli kuingiliana.
----
Akizungumza mahakamani hapo Leo Wakili wa upande wa waleta maombi Nyaronyo Kicheere, ameeleza kwamba wameshindwa kumpata mjibu maombi namba 3 ambaye ni Paul Christian Makonda kwa kuwa Masaki alikokuwa anakaa amekwishahama na namba yake ya simu haipatikani na hivyo kuiomba Mahakama hiyo iwapatie hati ya kumsaka maeneo mbalimbali.
Aidha wameomba kupewa hati za wito ambazo zitapelekwa alipokuwa akifanyia kazi kwa mara ya mwisho, kwenye nyumba aliyokuwa anaishi kwa mara ya mwisho, maeneo anayotembelea mara kwa mara na nyingine iwekwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, nyingine ipelekwe bandarini, Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na ya mwisho ipelekwe kwenye gazeti la Kiswahili na la kingereza.
Wakili ameongeza kuwa lengo la kufanya hivyo ni kutaka mjibu maombi hayo ambaye ni Paul Makonda apate taarifa juu ya uwepo wa kesi hiyo mahakamani.
Kwa upande wake Hakimu wa mahakama hiyo Aron Ryamuya, ameeleza kuwa hoja ya kwenda kubandika hati hizo katika viwanja vya ndege na bandarini ni kinyume cha sheria na ni uchafuzi wa mazingira na badala yake akakubali matangazo hayo yapelekwe kwenye nyumba yake ya Masaki aliyokuwa akiishi, kwenye gazeti na kijijini kwao Koromije pekee.
Kesi hiyo namba 1 ya mwaka 2022, imeahirishwa hadi Jumatatu ya Machi 2, 2022.
Chanzo: EATV
Poa poa rafikiMambo😁
Yule bwana angefufuka leo, angekufa tena maana mambo yanaenda kasi mno, Wafuasi wake wametawanywa kwa njia saba