mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Inaitwa substituted summons mkuuTatizo hujui, kuna utaratibu wa mtu kumpelekea wito wa Mahakama, moja wapo ni kumkabidhi mkononi mhusika kama hapatikani unapeleka kwa mwajiri ama nyumbani kwake na hapo nyumbani kama hamna wa kupokea unabandika kwenye mlango wake.
Njia zote zikishindikana, sheria inasema inabidi litolewe tangazo la huo wito kwenye magazeti angalau mawili hadi matatu yanayo sambazwa nchi nzima, so hapo hamna cha ajabu.
mtakuja kukimbia post zenu, hivi huoni kabiisa jamaa ni under arrest process so farNobody has the guts to put this dude under arrest. So far, he’s still untouchable.
well said, it takes an intelligent man to see this, the Guy is above the Law !!!
Ata siku ikotokea pimbi wewe pamoja na kukera watu wengi humu jukwaani including me; unataka kuhukumiwa na ‘mob justice’ tutakutetea watu kama sisi ndio hulka yetu.Mlamba kalio Kama kawaida yako.
Mjomba wewe ndio unaji contradictIf you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality. By Desmond Tutu RIP
Bi up sana kwa kubenea kwa kuamua kutokuwa neutral.
Yaani wee mpumbavu unakiri kabisa kwamba clouds walionewa
Na kwa sababu wao ni panya tu kwa litembo makonda wewe unaelemea upande wa makonda
Utakuwa unafirwaa na makonda sio bure wewe kima
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu tutakuita utupelekeNyumbani kwa Baba yake Igoma wamefika?
Hii kweliUkitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Kauli ya "Mimi na magufuli ni kitu kimoja" huwa inanifurahisha sana ama hakika Rais tumempata.Yule bwana angefufuka leo, angekufa tena maana mambo yanaenda kasi mno, Wafuasi wake wametawanywa kwa njia saba
Hahahahaaaaa kwa hiyo humkamati bila dau?. Mkamate mkuu. Kuwa mzalendoKuna dau ukimkamata?
Kuna kiumbe, kabla,mahakamani kilikuwa kina-assume ni ghetto kwake kisa ana hela. Alivyofika ndio kajua kwamba pesa haina uwezo wa kupindisha haki ya 'mteule'.Mahakamani hakunaga ujinga mzee
Kama ameitwa si aende tu akawaweke sawa huko wasi wasi wa nini?wakati yeye anajua ni msafi
Ova
Aacha kuokoteza cha kusema, mazuri 1 au 2 uliyofanya hayazuii wewe kufikishwa mbele ya sheria kwa baya 1 ulilolifanya.Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Nilipomuona Sadam Hussein anatokea shimon kama Digidigi sikutarajia kama kuna mwanadamu mwingine duniani atachezea madaraka.Siamini kinachotokea, yaani ubabe ule wote jamaa anaogopa kujitokeza mahakamani. Hizi ni dalili za kudhibitisha tuhuma kutokana na alichokifanya. Poor Makonda dunia ipungeze speed aisee looh.
Siku ya kesi ni 2/3/2022 maswali yako yote yatajibiwaupuuzi mwengine huu!!!
watu wengine hawana majukumu ya kufanya, au wana muda wa kuchezea.
eti unamshitaki makonda na serikali!!
huyo mlalamikaji ndio nani? ujinga kabisa huu
Na lazima atatokea shujaa mwingine kama Kubenea wa kutaka kujua uchunguzi uliishia wapi.Labda wenzake wamemaliza Ili kulinda siri, huyu akikamatwa tutajua waliopiga Lisu risasi. Kama mbwa kala mbwa case closed
Hahahah utamsakaje Tiss? Mahakama inamjua na polisi wanamjua vizuri tu hata alipo wanajua sababu kuna watu pia haishi porini yule.Mbona kama kuna jambo linachezwa hii taarifa ya mahakama kwanini hakuwataka polisi wamtafute ni apate taarifa tu kutoka gazetini kuhusu kesi iliyofunguliwa dhidi yake sasa hii haina mantiki yoyote anaweza ku-relux tu ata kama yuko huko Masaki, Imagine kama ni mtu tofuati na Makonda si Polisi wangeambiwa direct wamsake?
Kubenea hana nguvu dhidi ya Makonda ndio maana hata mahakama haiangaiki naeNa lazima atatokea shujaa mwingine kama Kubenea wa kutaka kujua uchunguzi uliishia wapi.
Watanzania watu wa ajabu sana, huyo jamaa anatumia barabara hizi hizi ku move na askari wapo barabarani wanamuona. Serikali haina mpango nae tu sababu anazunguka humu humu nchini! Arusha, Dom,Moro,Dsm na MwanzaMbona jamaa yupo mjini na anakula shavu tu.
Hii habari ya kumsaka kama tochi inatoka wapi?
Mbona yupo Dar na amejiachia anavyotaka?
Acheni kuwazingua watanzania.
Kubenea si alifunguliwa mashtaka kipindi kile na akadakwa anatoroka na pikipiki kwenda Kenya😂 na matusi aliomtukana Makonda kwenye press flani! Naona kaona nae ajibu mashambulizi sasa kwa kuwa konda boy msafi yupo uraianiNahis kunakitu hakipo sawa, Ni ama walifungua kesi hawana mandatory yakufungua, au utaratibu wa mashitaka yake hajafuata utaraibu, halafu najiuliza Kwan nn waende mahakama ya kinondoni?? Y kndondn?? Mahakama ya chin?? Kwa link ya pm kunajambo haliko sawa,
Halafu hii nchi inautaratibu wa kuwa na wa mtu binafsi kufungua mashitaka kijinai?? Kwa nn naona maajabu?? Yaan mfunguaji wa kesi Hana connection yoyote hata ya mbali kwa nn afungue kesi, yaan mm tu nisiejua Sana sheria naona kunakosa ya kesi wao hawaoni??
Nadhani kubenea kunamahali anapata ufadhiri, au anatumika?? Maana angalia mashitaka yake et matumizi mabaya ya madaraka, duh[emoji1][emoji1] au kuvamia radio,ebooo,[emoji9][emoji15] kubenea unahasira zako binafs na hyo mtu??
Paul Wala Hana haja ya kumtafuta hvyo, kunauwezekano wanaemtafuta Ni mwingine na aliepo Ni mwingine
Na wale wanaotaka kuifanya nchi istawalike na wenye nia ya kuchoma vituo vya mafuta kama Mbowe, Lema, na Mbowe.Hahahaa, hii imekaa poa sana. Iwe funzo kwa MAJAMBAZI wenzake kama kamanda Sirro, na wale watoa roho akina Kingai, Mahita n.k