mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Inaitwa substituted summons mkuuTatizo hujui, kuna utaratibu wa mtu kumpelekea wito wa Mahakama, moja wapo ni kumkabidhi mkononi mhusika kama hapatikani unapeleka kwa mwajiri ama nyumbani kwake na hapo nyumbani kama hamna wa kupokea unabandika kwenye mlango wake.
Njia zote zikishindikana, sheria inasema inabidi litolewe tangazo la huo wito kwenye magazeti angalau mawili hadi matatu yanayo sambazwa nchi nzima, so hapo hamna cha ajabu.
Au summons by publication
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app