Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi
Tatizo hujui, kuna utaratibu wa mtu kumpelekea wito wa Mahakama, moja wapo ni kumkabidhi mkononi mhusika kama hapatikani unapeleka kwa mwajiri ama nyumbani kwake na hapo nyumbani kama hamna wa kupokea unabandika kwenye mlango wake.

Njia zote zikishindikana, sheria inasema inabidi litolewe tangazo la huo wito kwenye magazeti angalau mawili hadi matatu yanayo sambazwa nchi nzima, so hapo hamna cha ajabu.
Inaitwa substituted summons mkuu
Au summons by publication

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
well said, it takes an intelligent man to see this, the Guy is above the Law !!!

angekua above the law mahakama isingetoa hati hiyo ,ujue asipoudhuria tena mahakamni itaonekana ameidharau mahakama na mahakama itatoa warrant of arrest.
Mlikuwa mnamdanganya hivyohivyo mfungwa sabaya
mtakuja kukimbia post zenu hapo baade
 
Mlamba kalio Kama kawaida yako.
Ata siku ikotokea pimbi wewe pamoja na kukera watu wengi humu jukwaani including me; unataka kuhukumiwa na ‘mob justice’ tutakutetea watu kama sisi ndio hulka yetu.

Alikadhalika kama utashitakiwa na wale uliowaumiza moja kwa moja huo utakuwa mziki wako uucheze mwenyewe.

Maana yake nini binafsi sina shida Clouds ikifungua kesi dhidi ya Makonda au mtu mwingine yoyote ambae alinyang’anywa haki zake na huyo mtu.

Issue yangu ni hii culture ya watanzania kupenda kuona watu ambao waliwazidi kimaisha at one point wana angamia; huu ni utamaduni mmbaya sana ambao umekithiri kwa baadhi ya watanzania.

Sio kwa wasionacho tu mpaka kwa wenye nacho; ni tabia yetu kupenda kuona ambao waliokuwa bora zaidi yetu at one point kwenye maisha wanaangamia hii ndio sababu nipo upande wa Makonda against mob justice.
 
If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality. By Desmond Tutu RIP

Bi up sana kwa kubenea kwa kuamua kutokuwa neutral.

Yaani wee mpumbavu unakiri kabisa kwamba clouds walionewa
Na kwa sababu wao ni panya tu kwa litembo makonda wewe unaelemea upande wa makonda
Utakuwa unafirwaa na makonda sio bure wewe kima
Mjomba wewe ndio unaji contradict

Apparently you can’t comprehend the concept of justice (you do know kuna several theorists on the concept of justice) sasa unataka kuzungumzia;

Justice as Harmony
Distributive Justice
Corrective justice
Utilitarian Justice
Social Justice
Philosophical justice kwa misingi ya Justice in ‘procedural and substantive law’

Or what exactly is your definition of justice?

Kukusaidia Kubenea is seeking corrective justice, watu wenye mamlaka ya kuangaika na hiyo case ni DPP au mwathirika and not a third party.

Ndio maana mimi sina shida na yeyote alieumizwa na Makonda directly kumchukulia hatua za kisheria; however if it’s mob justice ata kama siwezi zuia final outcome I will defend the underdog regardless of his rank in society always.
 
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Hii kweli

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mahakamani hakunaga ujinga mzee

Kama ameitwa si aende tu akawaweke sawa huko wasi wasi wa nini?wakati yeye anajua ni msafi

Ova
Kuna kiumbe, kabla,mahakamani kilikuwa kina-assume ni ghetto kwake kisa ana hela. Alivyofika ndio kajua kwamba pesa haina uwezo wa kupindisha haki ya 'mteule'.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Aacha kuokoteza cha kusema, mazuri 1 au 2 uliyofanya hayazuii wewe kufikishwa mbele ya sheria kwa baya 1 ulilolifanya.
 
Kumbe jamaa ndio anaiomba mahakama kibali cha kumshtaki Makonda kwa kua anaona jamhuri haina nia ya kufanya hivyo??

Publicity kuubwa kumbe jambo lenyewe hata bado halijaiva.
 
Siamini kinachotokea, yaani ubabe ule wote jamaa anaogopa kujitokeza mahakamani. Hizi ni dalili za kudhibitisha tuhuma kutokana na alichokifanya. Poor Makonda dunia ipungeze speed aisee looh.
Nilipomuona Sadam Hussein anatokea shimon kama Digidigi sikutarajia kama kuna mwanadamu mwingine duniani atachezea madaraka.
 
upuuzi mwengine huu!!!
watu wengine hawana majukumu ya kufanya, au wana muda wa kuchezea.
eti unamshitaki makonda na serikali!!
huyo mlalamikaji ndio nani? ujinga kabisa huu
Siku ya kesi ni 2/3/2022 maswali yako yote yatajibiwa
 
Mbona kama kuna jambo linachezwa hii taarifa ya mahakama kwanini hakuwataka polisi wamtafute ni apate taarifa tu kutoka gazetini kuhusu kesi iliyofunguliwa dhidi yake sasa hii haina mantiki yoyote anaweza ku-relux tu ata kama yuko huko Masaki, Imagine kama ni mtu tofuati na Makonda si Polisi wangeambiwa direct wamsake?
Hahahah utamsakaje Tiss? Mahakama inamjua na polisi wanamjua vizuri tu hata alipo wanajua sababu kuna watu pia haishi porini yule.
 
Mbona jamaa yupo mjini na anakula shavu tu.

Hii habari ya kumsaka kama tochi inatoka wapi?

Mbona yupo Dar na amejiachia anavyotaka?

Acheni kuwazingua watanzania.
Watanzania watu wa ajabu sana, huyo jamaa anatumia barabara hizi hizi ku move na askari wapo barabarani wanamuona. Serikali haina mpango nae tu sababu anazunguka humu humu nchini! Arusha, Dom,Moro,Dsm na Mwanza
 
Nahis kunakitu hakipo sawa, Ni ama walifungua kesi hawana mandatory yakufungua, au utaratibu wa mashitaka yake hajafuata utaraibu, halafu najiuliza Kwan nn waende mahakama ya kinondoni?? Y kndondn?? Mahakama ya chin?? Kwa link ya pm kunajambo haliko sawa,

Halafu hii nchi inautaratibu wa kuwa na wa mtu binafsi kufungua mashitaka kijinai?? Kwa nn naona maajabu?? Yaan mfunguaji wa kesi Hana connection yoyote hata ya mbali kwa nn afungue kesi, yaan mm tu nisiejua Sana sheria naona kunakosa ya kesi wao hawaoni??

Nadhani kubenea kunamahali anapata ufadhiri, au anatumika?? Maana angalia mashitaka yake et matumizi mabaya ya madaraka, duh[emoji1][emoji1] au kuvamia radio,ebooo,[emoji9][emoji15] kubenea unahasira zako binafs na hyo mtu??

Paul Wala Hana haja ya kumtafuta hvyo, kunauwezekano wanaemtafuta Ni mwingine na aliepo Ni mwingine
Kubenea si alifunguliwa mashtaka kipindi kile na akadakwa anatoroka na pikipiki kwenda Kenya😂 na matusi aliomtukana Makonda kwenye press flani! Naona kaona nae ajibu mashambulizi sasa kwa kuwa konda boy msafi yupo uraiani
 
Hahahaa, hii imekaa poa sana. Iwe funzo kwa MAJAMBAZI wenzake kama kamanda Sirro, na wale watoa roho akina Kingai, Mahita n.k
Na wale wanaotaka kuifanya nchi istawalike na wenye nia ya kuchoma vituo vya mafuta kama Mbowe, Lema, na Mbowe.
 
Back
Top Bottom