Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kutipisha mda
Mawakili wa utetezi wapo vizuri Sana,asikudanganye mtu.Ni suala la muda tu tusubiri

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acha mahubiri. Sheria ifuate mkondo.
Mwambieni Jaji amuogope Mungu, Pirato alinawa mikono kumhukumu Yesu kesi ya KIFO, sasa Jaji anataka kushiriki kumfunga MAISHA Mh. Mbowe bila hatia - ajiangalie sana mpelekee ujumbe - Huu ulimwengu msingi wa uumbwaji wake upo kwenye HAKI, unaposimamia haki ya mtu jiangalie sana ukiipoka wa manufaaa ya watawala unakwisha kabisa.
 
Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kutipisha mda
Kweni weye ndiye Mr . Slow🤔
 
..Jaji yuko pale ili kutoa HAKI bila kujali watuhumiwa wana mawakili mahiri, au la.
 
Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kupitisha mda.
Napata hisia wewe ni "Dr" Msukuma.
 
Mawakili wako poa sema jaji ni kama marefa wa ligi yetu kashaamua upande wake au ana maelekezo toka juu
Fikiria hata Mr. Slow anaweza kumtikisa au genge lake Ili manufaa yawe upande wao🤔.
 
Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kupitisha mda.

Acha Kuchekesha Watu
 
Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kupitisha mda.
Vipi ile kesi ambayo Mbowe alirudishiwa hela yake? Subiri rufaa,hawa majaji wa michongo na uvccm kuna muda wao
 
Kibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kupitisha mda.
Mbona MBOWE anawahangaisha sana wakati nyinyi ndo mmemfungulia masthtaka 🤣 🤣 🤣 , Kikubwa acheni michezo ya kijinga na kitoto
 
Hii ilitarajiwa kwa huyu jaji tangu mwanzo na kama wale wengine tayari alikuwa na hukumu yake mfukoni.
Hata Pilato alimtendea vby Yesu lakini alikufa na hukumu yake ya 'kutumia madaraka vibaya naamini hadi muda huu anaiwajibikia'
 
..naona Jaji kaamua kujibu madongo ya shahidi wa utetezi anayeitwa Mchome.

..Jaji hatakiwi kushambulia mashahidi binafsi, anatakiwa achambue ushahidi kwa mujibu wa sheria.
 
Ni kweli, Chakubanga kasema mambo mengi yanakwenda KIHUNI HUNI... ana pointi asikilizwe na ajibiwe kwa hoja na si kumvunjia duka...sorry dirisha.
😃😀😀 Sio dirisha stoo!!
Mkuu mbona unaandika kama chuma cha mwingereza kimezama marindani,mawakuli ndio nani kutuchisha ndio kitu gani?
 
Kwani judge kakosea wapi?, Maana hata kibatala hajapinga hukumu,,, jw kama mahakama imegoma kukubali kuwa marehemu ameteswa kabla ya kutoa maelezo, nini impact yake kwa hii kesi, maana kama mshitaki anadai kutesa ili asaini statement tarehe 9august 2020,wakati document inasema statement imesainiwa tarehe 7august 2020,hapo ni wazi mtuhumiwa kachemka,
Lakini kiufupi hapa bado sioni kesi
 
..naona Jaji kaamua kujibu madongo ya shahidi wa utetezi anayeitwa Mchome.

..Jaji hatakiwi kushambulia mashahidi binafsi, anatakiwa achambue ushahidi kwa mujibu wa sheria.
Alikasirika kuhisi aliitwa wamchongo🤔.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…