Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 300
Mawakili wa utetezi wapo vizuri Sana,asikudanganye mtu.Ni suala la muda tu tusubiriKibatala na wenzake inabidi wachague kati ya kuwa mawakili au kuwa wachekeshaji wa wanaohudhuria mahakamani. Wachague ama kuwahudumia wateja wao au wasio na kazi wanashinda mahakamani kutipisha mda
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app