Malaika ni Kingai?Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko mwanasiasa yeyote yule.
Kamwe tusijaribu kuchezea au kufanya mchezo na Amani ya Nchi.
Mbowe sio MALAIKA.................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaika ni Kingai?Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko mwanasiasa yeyote yule.
Kamwe tusijaribu kuchezea au kufanya mchezo na Amani ya Nchi.
Mbowe sio MALAIKA.................................
Shaidi wa hisiaMashahidi Wa utetezi wote ushahidi wao umetupiliwa mbali, mm naona mawakili wa utetezi wajitoe tu ktk hii case, Lissu aliona mbali Sana alipotoa ule ushaur
Hopeless kabisaUsijaribu hata siku moja kuchezea AMANI ya Nchi.
Ni kweli lakini.....Usijaribu hata siku moja kuchezea AMANI ya Nchi.
utapata taabu sana.
Na mlivyoshangilia ujambazi wa Ole Sabaya wa kuiba elfu tisini ilikuwa sawa?CCM wameiba kura kwa mamilioni ya walipa kodi.
Halafu leo wanasema ugaidi wa laki 6 !? Useless kabisa.
Hii kesi ndio tumeona mashahidi uchwara wanasema terrorism ni utalii
Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.Ni kweli lakini.....
Ni kweli Mkuu sikupingi lakini.....Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
Biti gani ametembea nayo hapo?. Unaona wazi kabisa anapindisha corus kwa kulazimishaKwa mara ya kwanza leo jaji atatembea na biti
Tangu kesi ianze mpaka leo Mbowe amezungumziwa kwenye lipi?Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
Safi sanaMamlaka ya uteuzi imeshaamua Mbowe afungwe miaka mingi ili kuidhoofisha Chadema na CCM ipumue hivyo Jaji anaitii mamlaka ya uteuzi wake. RIP Comrade Hamza.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii kesi ni mgodi unaotembea jamaa wanapiga hela mchana kweupeJaji anaandikiwa hukumu na mawakili wa serikali kazi yake yeye ni kuisoma tu hapo, acha wapige perdiem za kutosha
Nadhani Kama alivyosema Lema, Mbowe anyamaze mawakili wajitoe the so called judge aamue anavyotaka au alivyotumwaHii Kesi ni kama imekwisha, wasipoteze muda zaidi, Watu wanaisubiri Rufaa, everything is in black and white, Hii Kesi ndogo "was a Litmus Test of the entire Case" , Case Closed
Sure will be a nice moveNadhani Kama alivyosema Lema, Mbowe anyamaze mawakili wajitoe the so called judge aamue anavyotaka au alivyotumwa