Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Usijaribu hata siku moja kuchezea AMANI ya Nchi.
utapata taabu sana.
 
CCM wameiba kura kwa mamilioni ya walipa kodi.

Halafu leo wanasema ugaidi wa laki 6 !? Useless kabisa.

Hii kesi ndio tumeona mashahidi uchwara wanasema terrorism ni utalii.
 
CCM wameiba kura kwa mamilioni ya walipa kodi.

Halafu leo wanasema ugaidi wa laki 6 !? Useless kabisa.

Hii kesi ndio tumeona mashahidi uchwara wanasema terrorism ni utalii
Na mlivyoshangilia ujambazi wa Ole Sabaya wa kuiba elfu tisini ilikuwa sawa?
 
Ni kweli lakini.....
Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
 
Ni kweli Mkuu sikupingi lakini.....
 
Tupo tunafuatilia kwa umakini kesi hii tujue mwisho wake ni nini .
 
Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
Tangu kesi ianze mpaka leo Mbowe amezungumziwa kwenye lipi?
 
Hii Kesi ni kama imekwisha, wasipoteze muda zaidi, Watu wanaisubiri Rufaa, everything is in black and white, Hii Kesi ndogo "was a Litmus Test of the entire Case" , Case Closed
Nadhani Kama alivyosema Lema, Mbowe anyamaze mawakili wajitoe the so called judge aamue anavyotaka au alivyotumwa
 
Back
Top Bottom