Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mahakama ya Juu yatupilia mbali tofauti kati ya Fomu 34A zilizopakiwa kwenye tovuti ya IEBC na Fomu34 A zilizopokelewa Bomas.
 
Kuahirishwa kwa uchaguzi nchini kote hakujasababisha kushuka kwa wapiga kura - Mahakama ya Juu.
 
Huyu madam jaji kuna issue alishawahi mtolea nje Uhuru. Sema siikumbuki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…