Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022


Majaji wa Mahakama ya Juu wakiingia.
 
Wakaazi wa mji wa Eldoret wakifuatilia kesi katika Mahakama ya Juu.
Fb4a8Z2WQAErOxU.jpeg
 
Hatujashawishika kuwa teknolojia ya IEBC ilifeli - CJ Martha Koome.
 

Attachments

  • twitter_20220905_125219.mp4
    1.5 MB
Fact njingi za akina Odinga zimepigwa chini zimebàki irregularity ndogo ambazo ni za kibinaadamu ambazo ni currable na hakuna jaji yoyote mwenye akili timamu ata nullify uchaguzi kwa viutopolo hiyo hivyo Rutto ni mtoto wa mjini kawazidi kila idara na ndio raisi wa kenya
 
Kenyatta na Ruto wamemchezea Raila mchezo wa Karata 3.

Nakumbuka maagano ya wapiganaji wa MAUMAU walisema Jaluo hatokuja kutawala Kenya kutokana na dhambi yao ya kuwa ma SNITCH wakati wa kumtoa MKOLONI.

Hivi Raila kwa akili yake alitegemea Kikuyu wampigie kura?
 
Ruto kashinda aisee. Kila petition no evidences au no credible evidences.
 
Hakuna ushahidi wa kuaminika wa madai ya udukuzi wa Azimio au mtu wa kati wa Jose Camargo - CJ Martha Koome.
 
Back
Top Bottom