Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Summary imesema 6/9 kwa hiyo wekeza kwenye hiyo tafsiriThe third issue is also dismissed for lack of evidence. Baba amepoteza tena hapa
Kwani ashashindwa tayarii?Ruto kumshinda ngumu...He is a real hustler and mastermind.
Mzee wangu, nguli wa siasa Odinga apumzike tu! Hii dunia kwa sasa ukiachwa na technolojia umeachwa na vitu vingi...
Mpaka umri huu huna tv kwako?Wekeni update siyo kuanzisha mada alafu haina muendelezo.
Bado dkk 3Kwani ashashindwa tayarii?
Azame YouTube mzigo uko liveMpaka umri huu huna tv kwako?
It seems Raila ameshindwa kuthibitisha allegations zote!Mahakama ya Upeo nchini Kenya inatarajiwa kutoa uamuzi siku ya Jumatatu kuamua kuhusu masuala yaliyoibuliwa na walalamishi kuhusu uadilifu wa uchaguzi wa Agosti 9 na uhalali wa kumtangaza Naibu Rais William Ruto kuwa Rais mteule...
Yes, this was a holding point. It has been rejected. Raila kashinwaIle ushahidi walio kua wanatarajia wa yule mvenezuela ku access portal imetupwa nje, hapa mchezo umeisha.., game over Ruto aapishwe tusonge mbele.,