Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ruto is the 5th. Nilikuwa nasubiria issue ya 50%+1 ambayo ni ya kikatiba zaidi nayo imepenya so Hongera Rutto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna lolote hapo. Nchi itaenda vema tu.Mara baada ya mahakama kuu kumaliza shughuli zake naona ndio itakuwa mwanzo wa vurugu zisizoeleweka hasa kwenye miji kama Nairobi, Kisumu, Mombasa, Nakuru, Kakamega na Machakosi hii itachagizwa na wafuasi wa Raila ambao hata wakikuyu husema shida sio RAO shida niwatu wake hope kuna sehemu Hali si Hali mpka muda huu.
Ruto kashinda aisee. Kila petition no evidences au no credible evidences.
Hongera Sana jirani kwa kukubali kushindwa,na hii ndiyo sahihi.Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
Warudishe pesa ya mzee . Hata diamond nae arudishe pesa ya mzee maana kunyonga kiuno kwenye kampeni haijasaidia mzee kushinda
Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
Sijui ni mmeru? Maana wameru ndio wana lafudhi hizo.Ila wakenya kwa mother tongue nature. Jaji koome bana kataamka ballot (mbarrot) unabaki kushangaa tu WTF?!
Ruto the 5th
Hongera sana ndg zetu na majirani zetu kwa kuwa na mifumo huru ya kiutawala. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Kenya.Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
Kisumu kimeshanuka tayariYagangwe yajayo...
Ndiyo UkweliYagangwe yajayo...
Mara baada ya mahakama kuu kumaliza shughuli zake naona ndio itakuwa mwanzo wa vurugu zisizoeleweka hasa kwenye miji kama Nairobi, Kisumu, Mombasa, Nakuru, Kakamega na Machakosi hii itachagizwa na wafuasi wa Raila ambao hata wakikuyu husema shida sio RAO shida niwatu wake hope kuna sehemu Hali si Hali mpka muda huu.