Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mara baada ya mahakama kuu kumaliza shughuli zake naona ndio itakuwa mwanzo wa vurugu zisizoeleweka hasa kwenye miji kama Nairobi, Kisumu, Mombasa, Nakuru, Kakamega na Machakosi hii itachagizwa na wafuasi wa Raila ambao hata wakikuyu husema shida sio RAO shida niwatu wake hope kuna sehemu Hali si Hali mpka muda huu.
 
Hakuna lolote hapo. Nchi itaenda vema tu.
 
Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
 
Hongera Sana jirani kwa kukubali kushindwa,na hii ndiyo sahihi.
Natamani tz iwe more democratic
 
Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.

Mmetengeneza mizizi mizuri na mikubwa kwenye chaguzi zetu hapo Afrika mashariki, kila nchi itaiga Kenya ni suala la muda tu
 
Bottom Up, Hustler, President Of Kenya Republic

William Samoe Arap Ruto
 
Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
Hongera sana ndg zetu na majirani zetu kwa kuwa na mifumo huru ya kiutawala. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Kenya.
 
Mara baada ya mahakama kuu kumaliza shughuli zake naona ndio itakuwa mwanzo wa vurugu zisizoeleweka hasa kwenye miji kama Nairobi, Kisumu, Mombasa, Nakuru, Kakamega na Machakosi hii itachagizwa na wafuasi wa Raila ambao hata wakikuyu husema shida sio RAO shida niwatu wake hope kuna sehemu Hali si Hali mpka muda huu.

Labda hizo vurugu ukafanye wewe na Bibi ako wa huko Mombasa.

Wakenya na Viongozi wateule saa hii wanatizama kuleta maendeleo ili Kenya izidi kusonga mbele.
 
Ruto alipata 50%+1 - CJ Martha Koome.
 
Back
Top Bottom