Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Odinga buaaana fujo tuuuu
Kalee wajukuu sasa
Pumzika ule mema ya nchi yako
 
Usifikiri Kila mtu Yuko nyumbani muda huu. Wengine wako safarini, wengine wako makazini nk. Tujifunze kuwa . Adabu!
 
R.O. baba yake alishajiapiza kuwa yeye Raila hatakaa awe rais wa Kenya.. Ni kiapp chenye laana
Nazani hata yeye alijua wazi kuwa hatatoboa katika hiyo, ni jambo zuri kuwa ameuzihirishia umma wazi wazi kuwa aliuhitaji sana urais lakin sasa ndo ishakuwa hivyo.Awaachie wakenya waendelee na mambo yao. Thanks Odinga
 
Nazani = Nadhani. Ameuzihirishia = ameudhihirishia
 
Laana huwa haifi hata siku moja. Miaka 78 ni mingi atulie nyumbani alee wajukuu huku akisubiri siku maalum ya kuitwa na Muumba kwa ajili ya safari ya milele.
Ndivyo unavyofikiri? Angalia wewe unaweza kuwa ndiyo unasubiri siku maalum ya kuitwa! Of course kila mtu anasubiri, lakini wewe inaonekana umetumia kigezo cha umri kuamua. Ni wengi walionyesha kiburi unachoonya na wakatangilia na kuwaacha wagonjwa au wazee hai.
 
Leo wanatoa tu mwelekeo wa hukumu.. Hukumu rasmi itasomwa baada ya siku 21

Majaji wanaohusika wako 7
Itabidi wakubaliane kwa wingi wa kura, wakishindwana kabisa itabidi kila jaji asome hukumu yake
Ahahaha kila jaji asome ukumu yake jmn [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo unavyofikiri? Angalia wewe unaweza kuwa ndiyo unasubiri siku maalum ya kuitwa! Of course kila mtu anasubiri, lakini wewe inaonekana umetumia kigezo cha umri kuamua. Ni wengi walionyesha kiburi unachoonya na wakatangilia na kuwaacha wagonjwa au wazee hai.
Tunaongelea urais mkuu macho na sio maisha binafsi. Miaka 78 kuingia ikulu ni hadithi ile ile ya Trump huwa haitokei mara nyingi maishani.
 
Back
Top Bottom