Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Na Mzee amekubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mzee amekubali
View attachment 2346470
Apige kazi kwa juhudi na kusahihisha makosa yake.
Laana gani hiyo mkuu, tufungue?Laana huwa haifi hata siku moja. Miaka 78 ni mingi atulie nyumbani alee wajukuu huku akisubiri siku maalum ya kuitwa na Muumba kwa ajili ya safari ya milele.
Nikweli ameonyesha ukomavuSafi sana huo ndio ukomavu wa kisiasa na kenya imetoa shule ukanda wa afrika mashariki na dunia kwa ujumla
Lafudhi mbovu kabisaSijui ni mmeru? Maana wameru ndio wana lafudhi hizo.
Mzee Odinga alisema mwanae hatakuja kuwa rais wa Kenya.Laana gani hiyo mkuu, tufungue?
Nazani hata yeye alijua wazi kuwa hatatoboa katika hiyo, ni jambo zuri kuwa ameuzihirishia umma wazi wazi kuwa aliuhitaji sana urais lakin sasa ndo ishakuwa hivyo.Awaachie wakenya waendelee na mambo yao. Thanks OdingaR.O. baba yake alishajiapiza kuwa yeye Raila hatakaa awe rais wa Kenya.. Ni kiapp chenye laana
Ilikuaje Mzee Odinga akatamka maneno hayo?Mzee Odinga alisema mwanae hatakuja kuwa rais wa Kenya.
Sababu gani ilipelekea akatamka maneno hayo?Mzee Odinga alisema mwanae hatakuja kuwa rais wa Kenya.
Nazani = Nadhani. Ameuzihirishia = ameudhihirishiaNazani hata yeye alijua wazi kuwa hatatoboa katika hiyo, ni jambo zuri kuwa ameuzihirishia umma wazi wazi kuwa aliuhitaji sana urais lakin sasa ndo ishakuwa hivyo.Awaachie wakenya waendelee na mambo yao. Thanks Odinga
Ndivyo unavyofikiri? Angalia wewe unaweza kuwa ndiyo unasubiri siku maalum ya kuitwa! Of course kila mtu anasubiri, lakini wewe inaonekana umetumia kigezo cha umri kuamua. Ni wengi walionyesha kiburi unachoonya na wakatangilia na kuwaacha wagonjwa au wazee hai.Laana huwa haifi hata siku moja. Miaka 78 ni mingi atulie nyumbani alee wajukuu huku akisubiri siku maalum ya kuitwa na Muumba kwa ajili ya safari ya milele.
Soma historia kijana, mwaka 1992 Odinga aligombana na mwanae chanzo masuala haya haya ya siasa, ndio akamwambia hatakuja kuwa rais wa Kenya.Ilikuaje Mzee Odinga akatamka maneno hayo?
Mwaka 1992 Odinga Raila aligombana na Baba yake Jaramogi Odinga masuala haya ya kisiasa, baada ya ugomvi ndio Baba akamwambia mwanae hautakuja kuwa rais wa Kenya kamwe.Sababu gani ilipelekea akatamka maneno hayo?
Ahahaha kila jaji asome ukumu yake jmn [emoji23][emoji23]Leo wanatoa tu mwelekeo wa hukumu.. Hukumu rasmi itasomwa baada ya siku 21
Majaji wanaohusika wako 7
Itabidi wakubaliane kwa wingi wa kura, wakishindwana kabisa itabidi kila jaji asome hukumu yake
Tunaongelea urais mkuu macho na sio maisha binafsi. Miaka 78 kuingia ikulu ni hadithi ile ile ya Trump huwa haitokei mara nyingi maishani.Ndivyo unavyofikiri? Angalia wewe unaweza kuwa ndiyo unasubiri siku maalum ya kuitwa! Of course kila mtu anasubiri, lakini wewe inaonekana umetumia kigezo cha umri kuamua. Ni wengi walionyesha kiburi unachoonya na wakatangilia na kuwaacha wagonjwa au wazee hai.
Umesema!? Asdulaghaflulai laazim tema mate chini mkuuUsomi huku kwetu ni matumboni tu