Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Daah maisha bhana Mungu atusaidie ndugu zetu wengine wanapitia kwenye mtihani mkubwa sana kwa kweli sema ilitakiwa asioe ili asipate hiyo kadhia iliyopo kwa sasa...

Na kwa hizi jamii zetu za kia afrika za kupangiana maisha, angekaa bila kuoa yangeanza maneno maneno oooh mbona umri unaenda huoi[emoji2368]. Na hawezi kuiambia jamii kuwa hana korodani [emoji2356] maana isingemwelewa. Akaona isiwe tabu, akaoa zake hivyo hivyo ili kuwakata maneno walimwengu
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, nimepitia kisa kama hiki. Walokole noma sana na mimi huwa najiona nilikuwa boya kweli
 
Mambo ya ndoa yanamengi, inawezekana alikuwa tayari kuvumilia lakini upande mwingine ukawa unamuumiza Kama kuhitaji watoto na mwanaume akawa anataka yeye mwanamke ndo aonekane tatizo, lakini kama walikubaliana iwe kwa kuishi tu na yeye akatoa siri hapo kweli ndo tatizo. Mimi namjua mtu mwenye tatizo Kama hilo aliona mwanamke mwenye watoto tayari Ili kumsaidia mahitaji yao na atulie kwake sasa kuoa binti tu hapo napo ni ngumu.
 
Upo sahihi mkuu inasikitisha sana kwa kweli inaonekana jamaa kazunguka kweli mali wanapata ila hiyo ishu ndio tatizo sema kila kitu ni mipango ya Mungu ilitakiwa asingefika kuoa bosheni hivyo mpaka sasa imempa msongo wa mawazo mno kwa sababu huo ugonjwa hajajipa ujue kwa hiyo kwa nini aji stress kwa wapita njia...
 
Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…