Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Umeona tuhuma za wizi anazotuhumiwa nazo? Soma ukurasa wa tatu. Yaani mtu anachukua mkopo wa 500m analipa 1.7B wizi mkubwa huo.Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.
Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
Wakufunga kabisa kama kaleta wiziUmeona tuhuma za wizi anazotuhumiwa nazo? Soma ukurasa wa tatu. Yaani mtu anachukua mkopo wa 500m analipa 1.7B wizi mkubwa huo.
Kasome hukumu kwanza ndio uje uchangie msichangie kiushabiki jamani.This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Anataka kumkomoa Mosha ili amcheke vizuri na shoga zake.Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Angekopaje pesa zote zile ? Kachota sana pesa alikuwa finance ana access kibao ndio maana kachota pesa ,ukizingatia mke anaweza kukopa kwa dhamana ya mumewe asingechukua 500mil sio kitoto.Alikuwa kwenye biashara kama nani?? mfanyakazi wa kawaida au business partner?
Alikuwa analipwa mshahara?Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Analipwa ndio ila ni mke miaka zaidi ya 20 sio kitoto kweny ndoa ...Analipwa ila kwa sheria za Tz bado ana haki kama mke.Alikuwa analipwa mshahara?
Mbona hiyo teknolojia ipo tayari. Inalipa $ 20k inachagua mrembo anawekewa sperms zako. Akijifungua unapewa mtoto wako maisha yanaendeleaThe institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.
teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
Kabisaa Mosha anasema mwanamke kaiba zaidi ya 1.5 Million dollars yaani zidisha kwa 2540*1,500,000=3.8 Bilioni,Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.
Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.
Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin
Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.
Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.
Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya
Unaongea ukiwa una uhakika au hasira zako kwa kila mwanamke ndo zinakufanya uongee pumba?ndiyo dawa ya wadangaji, ME walio ndoani wanaamka sasa
Tena wa miaka 28, c mchezo. Lazima kuwe na sababu za msingi sanaUkiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.Kabisaa Mosha anasema mwanamke kaiba zaidi ya 1.5 Million dollars yaani zidisha kwa 2540*1,500,000=3.8 Bilioni,
Jumla mwamba kaibiwa 5bilioni kongole kwa jaji
Hakimi alitoa somo kubwa sana trust me, ni global impact tunaishuhudia sasaHapa Sasa mtawaskia watetezi wa haki za binadamu, TGNP na yale mafeministi wakipaza sauti ila ingekua ni mwamba amepigwa technical knock out huwezi skia chochote
Shida lugha iliyotumikaWatanzania mbona hampendi kusoma?
Nilikuwa nazungumzia utofauti kati yake na jackline mengi.Umesoma hukumu? Mwanamke wa kwanza ndio anatakiwa aibe usd 750k?
Bado hujasema. Ujue nishaanza kuzichukilia serious hata hiz nyuz za wanaume siku hiz kuwatahadharisha wanaume wenzao kuhusu wanawake. Zaman nilikua najua wanawaonea ila seriously kuna shida. Mwanamke ni mtegk m baya sana katika maisha ya mwanaume hapa dunianiUnaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
soma docs hizo juu hapo vizuri kabisaUnaongea ukiwa una uhakika
Nancy hajashiriki kuotesha kivipi?Angalao jua kwa wanaume limeanza kuchomoka.
Hawa viumbe wanapenda sana kuvuna kwenye shamba ambalo hawakushiriki kuotesha.