DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.

Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
Umeona tuhuma za wizi anazotuhumiwa nazo? Soma ukurasa wa tatu. Yaani mtu anachukua mkopo wa 500m analipa 1.7B wizi mkubwa huo.
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kasome hukumu kwanza ndio uje uchangie msichangie kiushabiki jamani.
 
Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Anataka kumkomoa Mosha ili amcheke vizuri na shoga zake.
 
Alikuwa kwenye biashara kama nani?? mfanyakazi wa kawaida au business partner?
Angekopaje pesa zote zile ? Kachota sana pesa alikuwa finance ana access kibao ndio maana kachota pesa ,ukizingatia mke anaweza kukopa kwa dhamana ya mumewe asingechukua 500mil sio kitoto.

Kuna mfanyakazi anaweza kukopa mkopo kwa dhamana ya kampuni ambayo kaajiriwa tu?
 
The institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.

teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
Mbona hiyo teknolojia ipo tayari. Inalipa $ 20k inachagua mrembo anawekewa sperms zako. Akijifungua unapewa mtoto wako maisha yanaendelea
 
Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.

Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.

Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin

Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.

Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.

Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya
Kabisaa Mosha anasema mwanamke kaiba zaidi ya 1.5 Million dollars yaani zidisha kwa 2540*1,500,000=3.8 Bilioni,

Jumla mwamba kaibiwa 5bilioni kongole kwa jaji
 
Kabisaa Mosha anasema mwanamke kaiba zaidi ya 1.5 Million dollars yaani zidisha kwa 2540*1,500,000=3.8 Bilioni,

Jumla mwamba kaibiwa 5bilioni kongole kwa jaji
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.

Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.

Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
 
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.

Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.

Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Bado hujasema. Ujue nishaanza kuzichukilia serious hata hiz nyuz za wanaume siku hiz kuwatahadharisha wanaume wenzao kuhusu wanawake. Zaman nilikua najua wanawaonea ila seriously kuna shida. Mwanamke ni mtegk m baya sana katika maisha ya mwanaume hapa duniani
 
Back
Top Bottom