Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Umeona tuhuma za wizi anazotuhumiwa nazo? Soma ukurasa wa tatu. Yaani mtu anachukua mkopo wa 500m analipa 1.7B wizi mkubwa huo.Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.
Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.