DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sawa. Lakini shares ni matrimonial property. Kampuni haitavunjwa lakini mume anaweza kutakiwa kumlipa mwanamke kiasi ambacho kinalingana na share zake katika kampuni au ampe share zenyewe. Kingine ni kuthibitisha kuwa kutokana na share na dividend anazopata basi anaweza kulipa pesa ambazo mtalaka wake anataka.Hawatagawana asset za kampuni.

Amandla...
Kwenye kampuni hapo kuna utata

Sio rahisi kama unavyotaka kusema

Share za mume kwenye kampuni inayofanya kazi mzee huwezi muingiza mwanamke kutoka tu gizani ukasema 50% ni yake

Shida ni kwamba kampuni nayo ni mtu

Na kampuni ipo live inafanya kazi,huwezi ivamia kampuni inayofanyakazi na kuivuruga eti useme 50% ni ya huyu maana yake unaiua hiyo kampuni

Sema kampuni kwa hiyari yao wafanye winding up mali ziuzwe wakawane

Au huyo mume auze share zake kwa hiyari yake ipatikane pesa hapo mwanamke labda ampe 50%

Hali inakua nzito zaidi maana ugomvi wa watu wawili unauhamishia kwa watu wengine (kampuni ni mtu)

Ukihamisshia huo ugomvi huko maana yake kampuni inakufa,hujasolve kitu

Kwa busara ya hakimu shares kama shares za kampuni inayofanya kazi hazigawanywi kama unavyotaka hapa

Na sio jukumu la hakimu kuua kampuni namna hii

Na sio jukumu la hakimu kuhamisha ugomvi kuupeleka kwenye kampuni inatakua hujasolve kitu hapo

Labda uniambia dividends zinazokuja kutokana na share hizo ndio wagawane hizo hela 50% 50%,sasa,dividends zinakuja lini kwenye kampuni binafsi?

Ukishaingiza makampuni kwenye migogoro ya ndoa binafsi unayaua na unaathiri waajiriwa mia kidogo

Sio rahisi kama unavyo onesha hapa eti kila kitu ni 50% 50% tu kirahisi namna hii
 
Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Huenda zinamtetea kwakuwa sisi makanbila mengine ni starehe hatuwekezi wala hatujui kuweka akiba.
Jiulize Diamond angelikuwa mchaga leo hii ingekuwaje? angekuwa na ssets na mali za mabilioni.
 
Nisome vizuri,sijasema umesema kua wanawake walipwe....

Nimesema kwa hoja ulizotoa zinakumbusha hoja za wale wanaosema wanawake walipwe kwenye ndoa

Relax

Sio interview ndugu

Mapenzi ni interview?

Ukiondoa dhana ya "mapenzi" hapo basi inageuka interview

So far tunajua "mapenzi" yamo ndani hivyo dhana ya interview inafia hapo hapo!

Relax

Binadamu ana uwezo wa ku-alter the nature ku-fit him at that particular time akiwa duniani

Nature unayozungumzia wewe ina take very long time to self-rectify,decades hadi centuries,yule binadamu alie leta lile badiliko ashakufaga

Familia ndio basic human unit,ukivuruga hapo idadi ya watu ina perish

Hutaki andamana

Idadi ya ndoa ziapungua

Idadi ya divorces zinaongezeka

Hiyo ni mavi?

Sababu kubwa ya kwanza unajua ni nini?FEMINISM kama yako hii

Kilichomtekea shosti yako Nancy ni hicho cha toxic marriages ulichotaja....

Amepigwa cha uso,atulizane basi atafute hiyo best maariage unayoitaja hapa kama atapata

Kusema kwamba wenza wasimamie viapo vyao vya Ndoa na mikataba ya mahusiano na wenza wao ndio kuwakumbusha wadai mishahara ya wake ndani ya Ndoa?

Ila Kama aliweza Mbunge Salma Kikwete kupigania “haki za wenza wa wastaafu viongozi kulipwa “kifuta jasho itashindikana vipi wake wa Ndoa kuingia mikataba ya kulipwa?

Mapenzi?
Unayajua mapenzi vizuri? Uliyaelewa vizuri kweli baada ya kuyajua? Unazifahamu sifa za mipaka ya Mapenzi, haswa mipaka ile isiyoonekana?

Mvulana mmoja + wasichana watatu = mapenzi? Kivipi yaani?!

Mwisho wa siku anaolewa mmoja, Mbona hasiwaoe wote kwa wakati mmoja Kama ni mapenzi? Kwanini wengine anawatupa ama kuwaficha kabatini (michepuko) Kama ni Mapenzi?
Mapenzi ni nini kwako?

Kwanini unajilisha upepo?
Kwamba binaadam anaweza ku “alter Nature to fit ‘him’… hii ni ndoto ya wanaume Kama wewe waliokutangulia hapa duniani na waliopo sasa na hata wale wajao.

Alter Nature? What is Nature? Should there be a significant difference between altering Nature and Modifications of Nature?

Everything on this Gravitational zone has an equal and opposite reaction to any action. Everything.

Do you understand the kind of reactions that can occur due to the alternations of Nature?

So far we have been witnesses of all the reactions of Weather modifications. Umeona tulipofikia.

Binaadam kawekwa kuyaongoza Maisha, badala yake kayaacha yamuongoze na kumtawala kwa tamaa yake ya kutaka kutawala kisichotawalika (Nature).

Kama binaadam “aliyeliletaga ashakufaga “ basi Nature ilifanya kazi yake na sasa inaendelea kufanya kazi yake, inamuumba yule “atakae liondoshaga na kulifutaga “ kwa kutupa Mfumo mpya, lakini kwanza lazima tuyaishi matunda ya kazi za mikono yetu hapo awali, haikwepeki.

Nature haijui kubagua wala haijui nini maana ya ubaguzi. Mstari wake ni mnyoofu sana na ndio unayafanya Maisha yaendelee kuhimiliwa hapa Duniani.

Kuhusu Family, ndio msimamo wangu.

Lakini hakuna strong family ya mwanaume au mwanamke mzinzi ndani ya Ndoa kwa sababu tu anazo pesa za kulainisha njia yake.

Family itakayojengwa kwenye misingi yenye nyufa za udhaifu wa aina hii, itaishi na pengine kudumu miaka dahali, ila Karma/Nature huwa haisahau, lazima irudi kuchora mstari tena na tena na tena mpaka panyooke.

Feminism Kama yangu hii?

Kwamba kuzungumzia usimamizi sawia wa viapo vya Ndoa na mikataba yake ya kimahusiano kati ya mume na mke ndio Ufeminist? Sasa hapa nikikuuliza Kama Una hakika huna maradhi ya kichwa nitakua nimekosea?

Divorces zinakosaje wakati binaadam mnataka muishi ki bachelor & slay queens ndani ya Ndoa iliyofungwa na Viapo na maagano mbele ya Mungu na Jamii?

Ndoa zinatoka wapi kwenye jamii iliyojaa wanaadam wanaotukuza vitu (mali + Starehe) na sio Utu wa mtu?

Sasa kuna sherehe za Harusi, it’s all about business in this plastic era.

Sijayaona hayo mavi? Wewe umeyaona wapi?

Kuhusu Ex/Wife wa DM Mimi hainihusu.

Ni wazi Pipa lilikua na Mfuniko wake na mmoja kamuwahi mwenzie. Sisi hapa ni wasomaji na watoa maoni katika mienendo ya kijamii.
 
Watu wanajifanya vipofu, viziwi na wasahaulifu wakati jamii hizi hizi tulizomo zimezungukwa na shahidi nyingi juu ya matokeo ya wale wenza (wakike kwa wakiume ) waliokiuka Viapo vyao vya Ndoa na waliothubutu kudhulumu haki na jasho la wenza wao Kisa tu Time and Chance was on their side.

Ulimwengu haujawahi kubaki wala kulala na deni, wote hulipwa kwa kipimo sahihi bila kuogopa jina lako wala history ya maisha yako.

Tatizo jingine, jamii nyingi zimegeuka praise & worship teams (chawa) wa viumbe wanaume na wanawake wachafu na wadhalimu kwa wenza wao huku wakionekana ni wajanja na mifano ya kuigwa ndani ya jamii zao.

Na haya yote ni matokeo ya kuvipa vitu thamani na sio Utu.
Kama mtu unanyanyaswa na mwenza why ukae kwenye ndoa. Watu wajifunze kuondoka na kuanza maisha mangine. Ndoa ya unyanyasaji haina afya hata kwa watoto.
 
Huenda zinamtetea kwakuwa sisi makanbila mengine ni starehe hatuwekezi wala hatujui kuweka akiba.
Jiulize Diamond angelikuwa mchaga leo hii ingekuwaje? angekuwa na ssets na mali za mabilioni.
Jiulize wewe...
Mhe. TEMBA wa TMK Wanaume Family ni Mchaga twambie amefanya nini kumzidi Mmanyema Mond.
 
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Inatemegea.Kama alizikuta kampuni na akaajiriwa kama staff akawa analipwa mshahara na stahiki zake,kugawana itakuwa utata manake hata mshahara wake itakuwa wagawane.Nafikiri wanasheria wangeweza kutuelezea vizuri inakuwaje.
 
Twende mbele turudi nyuma; putting aside hii rulling-

1.Mwanamke yeyote ambaye akili yake imejiwekea kua "ndoa ndio mtaji wa maisha yake" ipo siku atajisahau kuficha ujinga wake na ita mgharimu maisha yake yote.

2.Ni kama kuna ujinga watu wanalishana kua "tuakiachana na huyu mume atanigawia mali"- elewa context yako, unaweza ishia pabaya, pigana uwe na shughuli ya kukuwezesha kipato wakati wa maisha ya ndoa, iwe uanzishiwe biashara au ajira, mazingira ya utoaji haki kwa nchi zetu BADO hayajanyooka kihivyo.

Bado hamjajifunza yaliyomkuta yule ex miss tz, ndoa alikua nayo, haki ya mirathi alikua nayo, kiko wapi?

Mwenye kusikia asikie.
Kikubwa tutafute mali zetu wenyewe, hata mkiachana kila mtu abaki na vyake. Kwa ndoa za siku hizi za kuliana timing ni wazi mapenzi ya kweli hayapo na ile kufa na kuzikana inayeyuka. Either uishi kwa maumivu makali au utangulizwe ahera.
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Soma hiyo hukumu utaelewa

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Daaah Maria nisamehe tu sikuoi tenA
 
Hizo zinaitwa rumours na zitabakia hivyo mpaka zithibitishwe mbele ya mahakama. Ukitaka kumuua nyani mpe jina baya. Inaelekea pia kuwa aliyekuwa mume wake nae sio malaika lakini watu wanamezea.

Amandla...
Wewe unaziita rumours, kuna watu in the know na wanajua what is happening/ what happened under the hood.
Bibie kuto dai mafao/haki yake si kitu cha kawaida!
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Kwanini alitaka kumuua

Mi simpi stahiki zake
 
Kama mtu unanyanyaswa na mwenza why ukae kwenye ndoa. Watu wajifunze kuondoka na kuanza maisha mangine. Ndoa ya unyanyasaji haina afya hata kwa watoto.

Humu wanasema Kama pesa mwenza mnyanyasaji anayo na anakupa kila kitu inabidi uchutame na ikiwezekana uwe doormat yake.
 
Kusema kwamba wenza wasimamie viapo vyao vya Ndoa na mikataba ya mahusiano na wenza wao ndio kuwakumbusha wadai mishahara ya wake ndani ya Ndoa?
Unawakumbusha wewe kama nani?

Malaika?

Shetani kama mashetani wengine tulioko hapa!

Unajua kwanini nime-declare wewe ni shetani sawa na sisi?

Simple...umedai ukichitiwa na mume na wewe unachiti....malaika hachiti hata akichitiwa

Infact naweza enda more further,ulishachiti tu kama malaya wengine tulioko hapa

Leo unajifanya malaika humu sababu tu umekasirika shosti wako kuachika,thats it!

So sad alichiti akashikwa,i'm really sorry for here aisee

Chiti my dear ila ushishikwe hamna rangi utaacha ona,kama Nancy
Ila Kama aliweza Mbunge Salma Kikwete kupigania “haki za wenza wa wastaafu viongozi kulipwa “kifuta jasho itashindikana vipi wake wa Ndoa kuingia mikataba ya kulipwa?
Kwanini hamjapitisha sasa mpaka sasa?
Kwanini unajilisha upepo?
Kwamba binaadam anaweza ku “alter Nature to fit ‘him’… hii ni ndoto ya wanaume Kama wewe waliokutangulia hapa duniani na waliopo sasa na hata wale wajao.
Unabisha nini sasa?

Unajua maana ya MAISHA?

Ukipata definition yake ndio utajua nipo sahihi

MAISHA ni struggle ya mwanadamu against nature ku-fullfill his needs....Na struggle against nature maana yake ni ku-alter nature from its original from to another

Unabisha nini sasa wewe Feminist wangu?
Lakini hakuna strong family ya mwanaume au mwanamke mzinzi ndani ya Ndoa kwa sababu tu anazo pesa za kulainisha njia yake.
Hiyo ndoa ya mwanamke mwema na mwanaume mwema duniani haipo

Wee endelea kujidanganya
Feminism Kama yangu hii?

Kwamba kuzungumzia usimamizi sawia wa viapo vya Ndoa na mikataba yake ya kimahusiano kati ya mume na mke ndio Ufeminist? Sasa hapa nikikuuliza Kama Una hakika huna maradhi ya kichwa nitakua nimekosea?
Endelea kujifanya daktari ku-dignose online characters you even dont know

Unatetea mwanamke tu,hujatetea wote...ndio maana ya Ufeminist!

Sijakosea hapo
Divorces zinakosaje wakati binaadam mnataka muishi ki bachelor & slay queens ndani ya Ndoa iliyofungwa na Viapo na maagano mbele ya Mungu na Jamii?

Ndoa zinatoka wapi kwenye jamii iliyojaa wanaadam wanaotukuza vitu (mali + Starehe) na sio Utu wa mtu?

Sasa kuna sherehe za Harusi, it’s all about business in this plastic era.
Wewe unaishije?

Maana unajitoa duniani unasimama dunia ingine unanyooshea waliopo duniani vidole kama wewe uhusiki vile

Wewe unatombana kama watu wengine,hapa unaonesha unafiki tu

Wewe sio malaika,upo kwenye ndoa humo ulishachiti acha kunichekecha hapa

Shosti yako kashikwa limemkuta

Bado wewe.....

Kwa mwanaume hata akikushika na SMS umeenda na maji sio lazima akute mboo ndani ya **** yako..

Hapo ndio utajua there is a very big difference between ME and KE
Kuhusu Ex/Wife wa DM Mimi hainihusu.

Ni wazi Pipa lilikua na Mfuniko wake na mmoja kamuwahi mwenzie. Sisi hapa ni wasomaji na watoa maoni katika mienendo ya kijamii.
Huwezi kua worked out hivi kama humjui huyo dada wala hakuhusu

Probably shost au wewe ndio mwenyewe

Still nafanya speculations

Mimi ni realist,shost yako kashikwa,akubali matokeo,amove on.....

na wewe siku ikikutokea hata uwe philospher namna gani utoe na kitabu na documentary na midahalo etc umeenda na maji
 
Kwenye kampuni hapo kuna utata

Sio rahisi kama unavyotaka kusema

Share za mume kwenye kampuni inayofanya kazi mzee huwezi muingiza mwanamke kutoka tu gizani ukasema 50% ni yake

Shida ni kwamba kampuni nayo ni mtu

Na kampuni ipo live inafanya kazi,huwezi ivamia kampuni inayofanyakazi na kuivuruga eti useme 50% ni ya huyu maana yake unaiua hiyo kampuni

Sema kampuni kwa hiyari yao wafanye winding up mali ziuzwe wakawane

Au huyo mume auze share zake kwa hiyari yake ipatikane pesa hapo mwanamke labda ampe 50%

Hali inakua nzito zaidi maana ugomvi wa watu wawili unauhamishia kwa watu wengine (kampuni ni mtu)

Ukihamisshia huo ugomvi huko maana yake kampuni inakufa,hujasolve kitu

Kwa busara ya hakimu shares kama shares za kampuni inayofanya kazi hazigawanywi kama unavyotaka hapa

Na sio jukumu la hakimu kuua kampuni namna hii

Na sio jukumu la hakimu kuhamisha ugomvi kuupeleka kwenye kampuni inatakua hujasolve kitu hapo

Labda uniambia dividends zinazokuja kutokana na share hizo ndio wagawane hizo hela 50% 50%,sasa,dividends zinakuja lini kwenye kampuni binafsi?

Ukishaingiza makampuni kwenye migogoro ya ndoa binafsi unayaua na unaathiri waajiriwa mia kidogo

Sio rahisi kama unavyo onesha hapa eti kila kitu ni 50% 50% tu kirahisi namna hii
Unatakiwa kuelewa Mosha haweza kukubali kwa sababu moja ,si unakumbuka yale ya Mengi walishindwa kugawana makampuni kwa sababu ni sawa na kuua kampuni zote.

Wakakubaliana kwa vile ni watalaka mke aendelee kupata faidi kulingana na asilimia fulani ndio maana mke wa Mengi alikuwa analipwa mpaka siku anafariki...Mosha hawezi kukubali huu ujinga hapo lazima atumie pesa.
 
Butthole ni tako? Wapi huko? Kabla ya ku accuse, jitathmini kwanza.
Yaani wewe na akili yako unataka niseme kabisa butthole=mk**ndu mbele ya jukwaa namna hii?

Kwahiyo hapo unajiona unajua sana English-Swahili dictionary?

Nimetumia neno less graphic kama tako ili kupooza makali ya neno hadharani

Hivyo relax,nilipata A za English kama wewe,plus nipo huku America viinglish havinitesi sana kama unavyodhani
 
Kazi kweli. Kwani ulizaliwa naye, ndugu tu wanatengana sembuse mme au mke
Ni kweli

Ila mkishatengana haina haja ya uzi,post au kujifanya philosopher na post ndefu ndefu kama Professor

Fanya kama uliyokua unayafanya mwanzo

Hapo sasa ndio hutaweza
 
Unatakiwa kuelewa Mosha haweza kukubali kwa sababu moja ,si unakumbuka yale ya Mengi walishindwa kugawana makampuni kwa sababu no sawa na kuua kampuni zote.

Wakakubaliana kwa vile ni watalaka mke aendelee kupata faidi kulingana na asilimia fulani ndio maana mke wa Mengi alikuwa analipwa mpaka siku anafariki...Mosha hawezi kukubali huu ujinga hapo lazima atumie pesa.
Hapo ndio difference kati ya ME na KE

Divorce ni war...anything goes!

Nakubaliana na wewe 100%
 
Back
Top Bottom