Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

Habari yako ni ya october na leo ni december
 
Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..

Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Kiwanda cha Dangote bado kipo mkuu bali ni Kampuni tu hiyo ya zamani walishabadilisha jina la biashara.
 
Mazingira mabovu ya uwekezaji, sheria nyingi ambazo hazina tija, ukitaka kujua nchi hii ina mazingira magumu ya kufanya biashara basi kuwa nakampuni yako na ufanye biashara, naelewa ndagote anapitia hiyo hali.

Unaweza ukapata kazi ukakwamisha na VAT certificate tu haha nchi hii kiboko, wanatumia sheria za kikoloni version 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…