Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Dah tabu gani hizi kule five star hotel Arusha imekua hostel tena Dangote anafunga virago ntambia nini watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu huwa ni kushangilia tu bila kutakariKiwanda cha Dangote bado kipo mkuu bali ni Kampuni tu hiyo ya zamani walishabadilisha jina la biashara.
Utanyooka tu. Hata kwenye uchaguzi tuliwaambia hamkuelewa lakini sasa hivi kuna wenzio wamelazwa kwa stress! Hata kwa hili jambo haipiti wiki mtakuwa hoi bin taabani.Naona unateseka hapo kusafisha uharo wa Mwenyekiti wako!
MITANO TENA[emoji112]
Mafisadi wote watahama mjini.SELIKALI HII YA KISHETANI SI RAFIKI KABISA KWA UWEKEZAJI.
Nalia Tanzania.
Watasema Anahusika na kuhifadhi makundi ya kigaidi huko Mtwara na MsumbijiSoon tutasikia, Mwekezaji alikuwa akiikosesha 'serekale' mapato , huku wakiwa wamekaza shingo.!
Mkuu washangilie kwa lipi we unaona habari nzuri hizoHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Wewe Unafikiria Watasema Nini?Nyie mnaomzunguka Jiwe/wanufaika wa dictatorship ya Jiwe ndiyo mnasema uharo kama huo!
😁😂😀😅😄😄😄😀😁😂🤣😅😄Watasema Anahusika na kuhifadhi makundi ya kigaidi huko Mtwara na Msumbiji
Kama mmeligawa taifa kwa ubaguzi wa kipumbavu mnategemea nini?Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Ndio tuseme yote lakini tusihusishe matatizo ya menejimenti ya makampuni binafsi na sera za uwekezaji. Kushindwa kwao kuendesha hakuhusiani na sera huo ndio ukweli. Kwa mfano kati ya wawekezaji waliokuwa wapendelewa sana ni Dangote hakuna anayepinga hilo.Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Mtajua wenyewe shenzi typeHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.