Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

Kweli cdm wajitenge na hayo mazungumzo waendelee kimpango wao. Wanapoteza Muda tu.
 
CCM inahusikaje?
Mhusika mkuu ni ccm hilo liko wazi hata mawakili wao ni ccm hilo liko wazi,Ndugai na chadema wapi na wapi,Magufuri na chadema wapi na wapi,Majaliwa na chadema wapi na wapi,Mahera na chadema wapi na wapi,Tulia Acksoni naye na chadema wapi na wapi,CCM wanatetea hao covid 19 ili wale waliowaita sana mabeberu waweze kuwakopesha hela,hapo shida ni hela tu na si kingine.
 
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ?
 
Nawapongeza kina mama shupavu 19 kupambania haki yao. Naipongeza mahakama kusimama kwenye haki. Spika kijana Tulia nae pia siwezi acha kumpongeza.
CCM hamkosi kuomba radhi na hilo ndiyo tatizo lenu mnakosea makusudi eti tukielekea kufa tutaungama kwa Padre,mnafikiri Mungu alishasinzia???Endeleeni na upuuzi baadaye oh hakuna mwanadamu asiyekosea,oh yalishapita tugange yajayo,oh tuungane pamoja tujenge nchi,UTAPELI,UTAPELI,UTAPELI,UTAPELI,UTAPELI TU.
 
Duh

Hii ni zaidi ya picha la kihindi

Ova
 
Hawa watu wakiambiwaga fact wanatukana matusi tu ndio eanachojua.
Wanaambiwa kilasiku humu DJ anajua mchoro A to Z hawaelewi wana kaza mafuvu tu.
Muda ni msemakweli namba moja.
Rafiki punguza mahaba niue hukuzaliwa uwe ccm au chadema,bali ulizaliwa katika ardhi ya Tanzania ili uwe Mtanzania halali,unapoamua kuwa haramu sababu ya chadema au ccm basi wewe ni mwendawazimu,vyote hivi vyama vitakufa siku moja lakini Tanzania haiwezi kufa.
Ukitaka kujua wale wafuasi wa Magufuri mpaka sasa hawana raha na Samiah hata afanye jema kwao hafai,kuna siku kutakuwa mpasuko katika nchi kuanzia hicho chama cha madhambi mengi ccm ndipo mtakapogundua kuwa siasa za kukomoana hazina faida.
 
Huu upuuzi unaoendelea nataman uendelee watu wote waijue ccm na serkali vizuri labda watabadili approach ya kutafuta suluhisho.. KUPIGANA!
Nimeangalia mahudhurio ya Yanga kwenye jambo la kawaida kama lile nikajiuliza kwenye masuala ya mwelekeo bora wa nchi wanafeli wapi?
."..I LIKE THIS COUNTRY COZ ITS LAWLESS, BEER IS CHEAP AND WOMEN ARE WILLING!"
 
Kama mpaka leo bado hawajajionea..ok!
 
Ni heri aliyeamua kunyofoa kipengele cha ukomo mfalme mswati atawale milele chadema yao!
 
Tunajidhalilisha Kama taifa kwa kuwa na taasisi zisizosweza kujisimamia. Na huu ndo uduaifu alioutumia Magufuli kuyafanya yote Yale mazingaombwe aliyoyafanya kwa kuwa alijua taasisi zetu zi dhaifu kujisimamia.
 
Acha porojo please! Ni mjinga tu anayejifanya hajui ushenzi unaofanywa na Hawa washenzi. Na siku CHADEMA wakishinda mje muongee
 
..Nadhani uendawazimu.

..Kama kina Halima wangejitetea kule kwenye baraza kuu lakini wakafukuzwa halafu wakaenda mahakamani then kungekuwa na sababu ya kujibu hoja zao.

..Ndio maana nasema Cdm wasiende mahakamani.
I feel for you. Lakini wakati mwingine ni vizuri kuachilia mchezo wote uende mpaka mwisho wake. Kama ilivyokuwa kwa Mbowe.

Amandla...
 
Tuna MAHAKAMA na SERIKALI za hovyo mnooooo, takataka, walafi, waizi, wapuuzi na wajinga
 
CHAMA CHA MIHEMKO HICHO.
hawawezi kukuelewa.
Kama haukuwapeleka bungeni utawafukuza vipi ubunge?
Aliyewapeleka bungeni akawaapisha ndo anajua jinsi ya kuwafukuza ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…