Upuuzi!
 
Kimeumana
 

Attachments

  • IMG-20240822-WA0013.jpg
    113.4 KB · Views: 1
  • IMG-20240822-WA0012.jpg
    82.3 KB · Views: 1
 
Kwani Kesi ikon wapi ?
Mahakama gani imeendesha shauri hilo?
Mbona tunajidanganya kiasi hiki?
Kizazi hiki cha Karnes ya 21 kweli mnapelekesha mambo kijinga kiasi hiki?
Au ndyo kusema mbwa wameanza kutafuna mifupa?
Au ndo kutupumbaza?
Au ndo kusema Kuona Aibu tuipakae kama kesi?
Bado kuna maswali mengi........
Maasai wetu wanachotaka ni haki na haki tunayoitaka ni Raisi wa Tanzania Aseme yeye kwa mdomo wake mwenyewe kama alivoanzisha Mateso ya ndugu haetu hata kuwanyima huduma zote,
 
Hapa ndio tutajua kama nchi ina mihimili mitatu au ni mmoja tu na matawi yake. This move is good.
 
Kuna vitu huwa vinatokea Tanzania tu
 
Nani haijui?
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
 
Huku habari jioni hii zikisema kwamba mkazi wa Ngorongoro Isaya Ole Posi amepata zuio mahakamani la KUZUIA WAMASAI wasiondolewe ngorongoro mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa, mkazi huyo amekana kufungua kesi na pia amekana kumfahamu wakili Njau ambae ndie wakili aliefungua kesi hiyo.

Isaya ameenda mbali na kusema atachukua HATUA kali kwakuwa jina lake limetumika bila idhini yake . Alipoulizwa haoni jambo hili ni jema sababu wameshinda na kupata zuio alisema haijalishi, hajafungua kesi yoyote na Hana kesi yoyote mahakamani.

Mapema wakili Peter Njau akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu ya Arusha, alisema mteja wake alimwagiza kufungua kesi hiyo, na wakati wa kesi mawakili wa serikali walikuwepo na judge Mwenda alitoa amri hiyo mbele ya pande zote mbili. Kesi itakuja Tena mahakamani tarehe 26 September kusikiliza hoja za mkazi huyo Isaya Ole Posi ambae amekana kabisa kufungua kesi hiyo.
 
Serikali ya Madam Tippu Tippu inahaha utadhani Kuku mwenye kideli. Hivi kweli unataka kusema Njau ameidanganya mahakama ?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…