Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Hapa katuga analenga nini

Mbona kama anamfanyia Lissu mitigating factor

Dizain fulan wanataka akutwe na hatia then adhabu asipewe ya kunyongwa apewe punishment nyingine
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
 
Hapa katuga analenga nini

Mbona kama anamfanyia Lissu mitigating factor

Dizain fulan wanataka akutwe na hatia then adhabu asipewe ya kunyongwa apewe punishment nyingine
wanataka mahakama imkute na hatia ila adhabu isiwe ya kunyongwa na wamzuie kugombea Uraisi 2030 ndio mpango wao huo, read between the line ndugu yangu... Hio ndio mpango wao kwa sasa, I can clearly see and smell the rat, hii case inaenda all the way to Appeal court.
 
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Nilidhan wanataka akasotee jera maisha yake yote


Kama target ndo hii basi wamechemsha
 
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
acha porojo na upotoshaji useless jukwaani nanii, plz 🐒
 
Jamani sasa mbona hakuna updates? Au CCM wameweka mpira kwapani?

Yaani ukimsikiliza Tundu Lissu akitema nondo halafu ukamsikiliza huyu wakili wa CCM, ndugu Katuga, unaona kabisa ni kama ardhi na mbingu.

Tundu Lissu kamwaga nondo hadi maCCM wanatafutana. Hivi "a group of people" au "any person" ni sawa na public kweli jamani? Hata kama mtu hukuenda shule ndio ukubali kudanganyika kiasi hiki?
Huyu wakili jau sana, hata kwenye mathematics hatukubali kabisa walahi. tuna Sample, population, set, vigroup vinakuwa ndani ya set. Sasa group of people inakuwa sawa na public ila CCM day
 
Na hapo bado yupo kwenye tafsiri ya hati ya mashtaka. Bado hajaingia kwenye ushahidi wa magari ya Heche aiambie mahakama idadi ya magari ya Heche ina uhusiano gani na uhaini wa Lissu. Leo maji atayaita mmma!😅🤣😂
Huyu Baba anajipotezea credibility tu, km kaahidiwa kitu baadaye, ni angeweka wazi wampe tu, bila kupitia hii njia, maana wamemvua nguo na kudhalilisha usomi wake na Taaluma ya Sheria kwa ujumla.
 
Jamani sasa mbona hakuna updates? Au CCM wameweka mpira kwapani?

Yaani ukimsikiliza Tundu Lissu akitema nondo halafu ukamsikiliza huyu wakili wa CCM, ndugu Katuga, unaona kabisa ni kama ardhi na mbingu.

Tundu Lissu kamwaga nondo hadi maCCM wanatafutana. Hivi "a group of people" au "any person" ni sawa na public kweli jamani? Hata kama mtu hukuenda shule ndio ukubali kudanganyika kiasi hiki?
Kwa hiyo, public inapomaanisha watu kwa ujumla, si sawa moja kwa moja na a group of people wala any person.
Cc. Chatgpt.
Hapa tushajua katunga ni mshenzi
 
wanataka mahakama imkute na hatia ila adhabu isiwe ya kunyongwa na wamzuie kugombea Uraisi 2030 ndio mpango wao huo, read between the line ndugu yangu... Hio ndio mpango wao kwa sasa, I can clearly see and smell the rat, hii case inaenda all the way to Appeal court.
Wazee huwa wamenyooka sana sidhani kama watafanikiwa Hila zao
 
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
mnatapatapa
 
SEHEMU YA 6.

Miller Vs Minister of Pension (1947) Number 2 OER 372 to 373, kesi ambayo imerejewa with approval na kesi ya Sophia Seif Kingazi Vs Jamhuri, Criminal Appeal Number 273 of 2016, ambapo katika ukurasa wa 27 mpaka ukurasa wa 28, ambapo pia siyo kesi hiyo tu ilikuwa quoted.

Kwenye hiyo kesi ya Sophia ime-quote pia kesi ya Chandra Khant Joshubhai Patel Vs Republic of 1998, ambapo wakirejea maneno haya na yake.

Waheshimiwa Majaji, kesi hizi zote tulizo rejea zinaelekeza katika kutafsiri reasonable doubt. Mahakama isiwe strictly kwamba beyond reasonable doubt ilimaanisha beyond...

Mahakama ikijikita huko itakuwa ni tafsiri ya kuwaachia wakosaji dhidi ya jamii.

Sasa Waheshimiwa Majaji, baada ya kuangalia hili jukumu la kuthibitisha beyond reasonable doubt kwa tafsiri ya Mahakama zingine, twende tuangalie ni kitu gani sasa ambacho upande wa Jamhuri ulipaswa kuthibitisha.

Katika kuangalia huku sasa ni kuangalia viini vya kosa kwa hati ya mashitaka iliyo mbele yenu baada ya kuitoa katika Kifungu cha 39.

Kwa ridhaa yenu, tunaiomba Mahakama yenu ijiulize maswali yafuatayo:

1. Kwa mujibu wa mashitaka haya, iangalie kama Mshtakiwa ana utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Tunaiomba Mahakama hii ijiulize kama Mshtakiwa alitengeneza nia kwa ajili ya kuitishia Jamhuri.

3. Tunaomba Mahakama yenu ijiulize kama Mshtakiwa alidhihirisha nia yake ya kuitishia Serikali kwa kutoa na kusambaza maneno.

Haya ndiyo tunaomba Mahakama ijiulize.

Hivyo ndiyo viini vikuu vitatu.

Waheshimiwa Majaji, ukiangalia viini hivi haviendi mbali na viini vikuu katika kesi ya Hatibu Ghandi ambayo nimeshairejea.

Mahakama ya Rufani iliweza kuchambua viini vitatu.

Cha kunote kabisa, kesi hii ilihusisha Kifungu cha 39(2)(a) katika kesi ya Hatibu Ghandi.

Wakati mashitaka yetu yapo 39(2)(d), zote za Kanuni ya Adhabu.

Viini vilikuwa kama washtakiwa wana utii kwa Jamhuri ya Muungano, kama wali-form nia ya uhaini, na kama walidhihirisha nia hiyo by overt act.

Kwa hiyo Waheshimiwa Majaji, ukiangalia viini vilivyo tu, no tofauti na kesi hii.

Wakati wa Hatibu Ghandi, Mahakama ikijadili manifestation by overt act, wakati kesi iliyopo mbele yenu ni manifestation by deed.

Tunaomba Waheshimiwa mjiulize wakati tunaamua.
 
kwahiy
Huyu wakili jau sana, hata kwenye mathematics hatukubali kabisa walahi. tuna Sample, population, set, vigroup vinakuwa ndani ya set. Sasa group of people inakuwa sawa na public ila CCM day
kwahiyo mnavyosema nguvu ya umma huwa mnamaanisha watu wote? hii hamchomoki aisee
 
Wale mnaotokea kabila lile, jina katuga linatakiwa lipigwe x na lisitumike kwa watoto wenu. Oneni sasa anachofanya huyu babu.
Ni sahihi, hata Ujerumani wazazi hawawapi watoto jina la Adolph kwa sababu ya matendo maovu ya Adolph Hitler.

Si rahisi kukuta mjerumani aliyezaliwa baada ya vita ya dunia anaitwa Adolph, hakuna.
 
Back
Top Bottom