Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Waliuwa Askari walioshambulia watu kwa silaha au kwa ukatili mkubwa.
They acted in self defense, you could say.
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
 
Hata Yesu kristo alionekana Muhaini sembuse Lissu apa Duniani tunapita Ukweli wote wananchi tunaujua Lissu sio Muhaini na mmeshindwa kuthibitisha hoja zenu mahakamani viongozi ndio wamekimbia kabisa mahakamani.
 
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
Zile vurugu zina adhabu yake. Hutafsiriwa na kutolewa na mahakama siyo cold blood murder.
Not arbitrary murder executions, not extrajudicial killing.
Watu hawakuwa na silaha za moto. Tunao askari polisi waliofundishwa riot control (FFU).
Kwanini wasiwatulize na kuwakamata kisha kuwafungulia kesi?
Basi wangewapa kesi ya uhaini wakawauwe kisheria angalau ndugu wajue nani mkosaji nani siyo.
Maiti yake inazikwa na Jamhuri baada ya kunyongwa deathrow. Siyo arbitrary killing na maiti zingine hazijulikani zilikuwa disposed wapi. Very inhumane, barbaric!
 
Zile vurugu zina adhabu yake. Hutafsiriwa na kutolewa na mahakama siyo cold blood murder.
Not arbitrary murder executions, not extrajudicial killing.
Watu hawakuwa na silaha za moto. Tunao askari polisi waliofundishwa riot control (FFU).
Kwanini wasiwatulize na kuwakamata kisha kuwafungulia kesi?
Basi wangewapa kesi ya uhaini wakawauwe kisheria angalau ndugu wajue nani mkosaji nani siyo.
Maiti yake inazikwa na Jamhuri baada ya kunyongwa deathrow. Siyo arbitrary killing na maiti zingine hazijulikani zilikuwa disposed wapi. Very inhumane, barbaric!
unaona rahisi kwasababu umekaa na simu yako hapo unabonyeza tu.

kama ni hivyo kwann askari wanapewa risasi kwann wasipewe kalamu kama makarani?

wewe uliziona hizo maiti au mnaokota mataarifa feki ya cnn

walitulizwa lkn hawakusikia muda huo walikuwa wanaambiwa nendeni msiogope wakati huo maria yuko nje

unasema hawakuwa na silaha za moto watu wanachoma mabasi, sheli, stendi, ofisi unasema hawakuwa na silaha za moto?

hivi ww unaona polisi wajinga sana hukuona nepal na madascar wamewachekea mwisho kilitokea nn
 
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
Na walivyokuwa wanaingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura ulitaka wapakwe mafuta?Kati ya vurugu na uchaguzi feki kipi kilianza?
 
Na walivyokuwa wanaingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura ulitaka wapakwe mafuta?Kati ya vurugu na uchaguzi feki kipi kilianza?
nyie mlikataa kupiga kura hizo feki zimetoka wapi ikiwa ccm walienda kupiga kura kwa mtu wao, hata ikiwa kulikuwa na kura feki sheria inakwambiaje
 
nyie mlikataa kupiga kura hizo feki zimetoka wapi ikiwa ccm walienda kupiga kura kwa mtu wao, hata ikiwa kulikuwa na kura feki sheria inakwambiaje
Ninyi mlikataa maridhiano halali ya kuwa tume huru ya uchaguzi na mkawazuia chadema na Mpina kushiriki uchaguzi ili ccm mpite kwa kura za kubumba na kutuletea viongozi vilaza wasiokubalika na jamii ya Watanzania mlitegemea nini pumbavu?
 
SEHEMU YA 6.

Miller Vs Minister of Pension (1947) Number 2 OER 372 to 373, kesi ambayo imerejewa with approval na kesi ya Sophia Seif Kingazi Vs Jamhuri, Criminal Appeal Number 273 of 2016, ambapo katika ukurasa wa 27 mpaka ukurasa wa 28, ambapo pia siyo kesi hiyo tu ilikuwa quoted.

Kwenye hiyo kesi ya Sophia ime-quote pia kesi ya Chandra Khant Joshubhai Patel Vs Republic of 1998, ambapo wakirejea maneno haya na yake.

Waheshimiwa Majaji, kesi hizi zote tulizo rejea zinaelekeza katika kutafsiri reasonable doubt. Mahakama isiwe strictly kwamba beyond reasonable doubt ilimaanisha beyond...

Mahakama ikijikita huko itakuwa ni tafsiri ya kuwaachia wakosaji dhidi ya jamii.

Sasa Waheshimiwa Majaji, baada ya kuangalia hili jukumu la kuthibitisha beyond reasonable doubt kwa tafsiri ya Mahakama zingine, twende tuangalie ni kitu gani sasa ambacho upande wa Jamhuri ulipaswa kuthibitisha.

Katika kuangalia huku sasa ni kuangalia viini vya kosa kwa hati ya mashitaka iliyo mbele yenu baada ya kuitoa katika Kifungu cha 39.

Kwa ridhaa yenu, tunaiomba Mahakama yenu ijiulize maswali yafuatayo:

1. Kwa mujibu wa mashitaka haya, iangalie kama Mshtakiwa ana utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Tunaiomba Mahakama hii ijiulize kama Mshtakiwa alitengeneza nia kwa ajili ya kuitishia Jamhuri.

3. Tunaomba Mahakama yenu ijiulize kama Mshtakiwa alidhihirisha nia yake ya kuitishia Serikali kwa kutoa na kusambaza maneno.

Haya ndiyo tunaomba Mahakama ijiulize.

Hivyo ndiyo viini vikuu vitatu.

Waheshimiwa Majaji, ukiangalia viini hivi haviendi mbali na viini vikuu katika kesi ya Hatibu Ghandi ambayo nimeshairejea.

Mahakama ya Rufani iliweza kuchambua viini vitatu.

Cha kunote kabisa, kesi hii ilihusisha Kifungu cha 39(2)(a) katika kesi ya Hatibu Ghandi.

Wakati mashitaka yetu yapo 39(2)(d), zote za Kanuni ya Adhabu.

Viini vilikuwa kama washtakiwa wana utii kwa Jamhuri ya Muungano, kama wali-form nia ya uhaini, na kama walidhihirisha nia hiyo by overt act.

Kwa hiyo Waheshimiwa Majaji, ukiangalia viini vilivyo tu, no tofauti na kesi hii.

Wakati wa Hatibu Ghandi, Mahakama ikijadili manifestation by overt act, wakati kesi iliyopo mbele yenu ni manifestation by deed.

Tunaomba Waheshimiwa mjiulize wakati tunaamua.
Hawa jamaa ni wazi kuna chuki hivi dhidi TAL na kuna jambo wanatamani litokee kabisa la kutuumiza wa
SEHEMU YA 15.

Waheshimiwa Majaji, kuna neno moja la Kilatini linasema “de minimis non curat lex”.

Maana yake ni “the law does not concern itself with trifles.”

Haya maneno yanatoka kwenye kesi ya Mussa Mbelechamo vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 912 of 2023, iliyotolewa tarehe 17 Februari 2026.

Katika ukurasa wa 8, ilirejea mashauri mbalimbali, Abel Matiku na mengine mengi. Katika ukurasa wa 8 wanasema:

“Sheria haijipeleki kushughulika na vitu vidogo/vyepesi.”

Waheshimiwa, ni submission yetu kwamba hizo minor issues haziendi kwenye mzizi wa kesi yetu.

Waheshimiwa, kuna hoja ambayo pia mlialikwa kwamba mashahidi wa upande wa Jamhuri siyo competent.

Waheshimiwa Majaji, wakati wa defence kulikuwa na hoja kwamba mashahidi ambao ni police officers hawana competence na hawana credibility kwa sababu wanafanya kazi kwa ajili ya mkuu wao.

Tunaiomba Mahakama yenu, wakati ina-consider hayo malalamiko, iweze kuangalia ni kifungu gani au sheria gani inaweza kuwafanya hao mashahidi wasiwe competent.

Our submission ni kwamba hakuna sheria ya namna hiyo.

Na hayo ni maneno ya Court of Appeal katika kesi ya Popart Emmanuel vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 200 of 2010.

Katika ukurasa wa 5, Waheshimiwa Majaji, imewekwa tarehe 27 Juni 2020.

Kwa kuwa mashahidi wamesema wametoka ofisi moja ya DCI Kingai, Mahakama ya Rufani ilisema kwamba tunajua kuwa mashahidi wanatoka ofisi moja ya DCI, lakini hakuna sheria inayowakataza au kuwazuia.

Kinachoangaliwa ni je, ushahidi wao ni ukweli au uongo.

Na hiyo ipo katika domain ya Trial Court.

Mahakama ika-conclude kwamba mashahidi walikuwa sawa na competent kama walivyoalikwa katika trial court.

Kesi ya DPP vs Sharif Mohammed @ Athuman and Six Others, kesi maarufu kuhusu kila shahidi kuwa competent.

Hawa ni wale waliomuua yule mfanyabiashara wa madini.

Criminal Appeal No. 74 of 2016.

Ambapo Mahakama ya Rufani imesema kila mtu ni competent to testify, ili mradi huyo mtu ana knowledge ya testify.

Palikuwa na hoja kwamba hawa Polisi hawawezi testify kwa sababu walijiandikia maelezo yao wenyewe.

Waheshimiwa Majaji, kwanza, utetezi huu haujawa supported na kifungu chochote cha sheria, zaidi ya kuweka Kifungu cha 11 cha CPA, Sura ya 20, Revised Edition ya 2023, kinachohusu Polisi mpelelezi kumuandikia maelezo mtu anayemuhoji.

Kifungu hiki hakijatoa maelezo huyo Polisi anayefanya investigation anaandikiwa maelezo na nani.

Waheshimiwa Majaji, kwa kuwa hakuna kifungu mahususi ambacho kimezuia, Kifungu cha 36, Sura ya 6, cha Sheria ya Ushahidi, kinamruhusu kuandika maelezo kwa ushahidi kwa kadri anavyoelewa.

Hakuna kosa litakalompelekea Polisi kuandika maelezo yake.
"Polisi mpelelezi kumuandikia maelezo mtu anayemuhoji" wanasema mtu eti kwa maana hiyo wao sio watu hakuna sababu kuwahoji..!!
 
Sitaki Lisu ahukumiwe kwa sababu ile ilikuwa siasa. Sasa usiniparamie kihivyo!
Nikuelimishe kidogo kwa faida ya wengi. Jibu la hii kitu imejificha kwenye ''nia'' wakati nafanya jambo, nia ya hili jambo ni nini? Hapo kwenye jibu ndio penye uzito[points]
Nikupe mfano mwingine nje ya kesi inayofuatiliwa.
Kubaka ni kosa. Na tuchukuliee kumtisha mtu ni kosa. Nikisema, ''nitakubaka cocastc kavukavu''
Hapa ikithibitika ulitishika basi nitakuwa nimetenda kosa la kukutisha, ila sio kosa la kubaka (halijatendeka) ambalo kitendo chake ni kukula uloda upende usipende. Mfano huu wa viwanja vile utakuwa umeelewa somo.
Sawa kabisa... Lakini je, Serikali ilithibitisha KUTISHIKA?
 
Lissu anawajua hao PP wanavyofanya kazi zao.
Dhamiri ya ndani kabisa, inanisukuma niamini kwamba, hata hao waendesha mashitaka, baadhi Yao kama siyo wote, hawakubaliani na kesi ya Lissu, "inawezekana wanampenyezea baadhi ya mbinu.
To work under corrupt Government is a heavy burden
 
Lissu anawajua hao PP wanavyofanya kazi zao.
Dhamiri ya ndani kabisa, inanisukuma niamini kwamba, hata hao waendesha mashitaka, baadhi Yao kama siyo wote, hawakubaliani na kesi ya Lissu, "inawezekana wanampenyezea baadhi ya mbinu.
To work under corrupt Government is a heavy burden
‪Maoni kuhusu Kinachoendelea leo Mahakamani.

‪Tundu Lissu wakati wa mawasilisho ya mwisho (final submission) yake ameieleza Mahakama kwamba hakuna kosa dogo katika uhaini. ‬

‪Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru. Akaitaka Mahakama isiogope kutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi. ‬

‪Tundu Lissu aliwaeleza Majaji kama ushahidi wa Jamhuri unaonyesha kwamba ametenda makosa ya uhaini, Mahakama isiogope kumtia hatiani. ‬

‪Hii ilikuwa ni ‘punchline’ muhimu inayogusa moja kwa moja mzigo wa upande wa Jamhuri kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa.‬

‪Lakini kama ushahidi hautimizi viwango vya kisheria vinavyohitajika kuthibitisha uhaini, Mahakama isiogope kumuachilia huru.‬

‪Leo, katika (final submission) hoja zao kuhusu adhabu, Mawakili wa Serikali wamewasilisha tafsiri tofauti kuhusu sheria inayohusika. ‬

‪Mawakili Serikali wanasema Mahakama imepewa utashi (discretion) kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo kwa kosa. ‬

‪Hoja yao ni kwamba matumizi ya neno “liable” yanaipa Mahakama discretion kuamua adhabu, badala ya kufanya adhabu ya kifo kuwa lazima ‬

‪Mawakili wa Serikali wamefafanua hoja yao kwa kurejea case law mbili kueleza tofauti ya “shall be sentenced to death” na “shall be liable”‬

‪Hapa kinachoonekama, upande wa Jamhuri kupitia mawakili wa Serikali, hawataki Tundu Lissu akipatikana na hatua anyongwe hadi kufa.‬

‪Isipokuwa wanataka Mahakama kumfunga gerezani kifungo cha miaka kadhaa na kuweka ‘restrictions’ za kisiasa kwa Tundu Lissu. ‬

‪Jana, Tundu Lissu aliwaeleza majaji kwamba kama kuna ushahidi don’t hesitate to convict me. Kama hakuna uhaini don’t hesitate to acquit me.‬

‪TAL akarejea maneno ya Wakili wa OJ Simpson (Johnnie Lee Cochran Jr) if it doesn’t fit, you must acquit. Kama ushahidi hautoshi, acquit.”‬

‪Kosa la uhaini (treason) chini ya Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) linatambulika kama (capital offense).‬

‪Kosa lenye adhabu moja tu ya lazima (mandatory death penalty): kunyongwa hadi kufa (death by hanging). Hakuna kifungo cha miaka au faini. ‬

‪Tundu Lissu ameiweka Mahakama kwenye njia panda: aidha imtie hatiani kwa adhabu ya kifo au imuachie huru (convict for treason or acquit).‬

‪Jamhuri inajaribu kuleta tafsiri au mabadiliko ya kisheria kwamba Mahakama ina utashi (discretion) wa kutoa adhabu ndogo zaidi ‬

‪Kulingana na marekebisho ya sheria. Hoja hii ya upande wa Jamhuri inalenga kuipa Mahakama fursa ya njia ya katikati (middle ground).‬

‪Tundu Lissu ambaye ni mshtakiwa, anatumia mbinu ambayo inaitwa “All or Nothing”. Tundu Lissu anakataa adhabu yoyote ya katikati.‬

‪Tundu Lissu anaieleza Mahakama “convict or acquit me” anaiongezea Mahakama mzigo mkubwa wa kimamlaka na kijamii (high stakes). ‬

‪Hapo anasisitiza hukumu ya uhaini lazima izingatie ushahidi uliowasilishwa na kuthibitishwa bila kuacha mashaka (beyond reasonable doubt).‬

‪Mawakili wa Serikali (Jamhuri) wao wanatumia mbinu ya kupunguza mzigo wa athari kwa jamii (Mitigation of Impact). Hawataki anyongwe.‬

‪Serikali inatambua kumhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kunyongwa kutaleta shida kubwa sana kwa siasa za ndani na kimataifa. ‬

‪Ndiyo maana wanasisitiza kwamba Mahakama ina utashi (discretion) ya kuchagua adhabu ndani ya wigo mpana, baada ya TAL kukutwa na hatia.‬

‪Kifungo cha miaka kadhaa linaiwezesha Serikali kumuondoa TAL kwenye ulingo wa kisiasa bila kuingia kwenye lawama za adhabu ya kifo‬

‪Ndiyo Tundu Lissu hataki. TAL anasisitiza, kama ushahidi unathibitisha uhaini, convict. Kama ushahidi haujathibitisha uhaini, acquit‬

‪Jamhuri haitaki mhaini wao anyongwe. Wanapendekeza kwa Mahakama, asinyongwe, kwamba apewe adhabu nyingine mbadala.‬

‪Tuendelee kusikiliza final submission ya Jamhuri‬

‪
Yaani hii ni sawasawa na Ile watahini wa MITIHANI wanakwambia... Kuna alama mbili TU zinazotambulika na maana au thamani zake yaani ✔️ au ❌ hakunaga katikati...
Anachotaka kufosi katuga, ndo kama wale Walimu wanaweka tick na kukata mkia wake... Eti hujakosa sana Wala kupata sana..😂😂😂
 
Ninyi mlikataa maridhiano halali ya kuwa tume huru ya uchaguzi na mkawazuia chadema na Mpina kushiriki uchaguzi ili ccm mpite kwa kura za kubumba na kutuletea viongozi vilaza wasiokubalika na jamii ya Watanzania mlitegemea nini pumbavu?
mpina aliwekewa pingamizi na mtu wa chama chake akidai katiba ya chama chao ilikanyagwa unapodai ccm iliwazuia unaongea uongo kwa maslahi ya nani, chadema walikataa wenyewe kushiriki uchaguzi hawakuzuiwa na mtu na uhuru wao wala hawalaumiwi ujinga wa kudhani wao wanasauti pekee nchi hii waache waseme mawazo yao yakipita sawa yasipopita watembee, yani kweli ccm kwa ukubwa wake ihangaike na mpina? hizo porojo kiongozi gani hakubaliki na jamii na umetumia kipimo gani, yani heche na mange ndio jamii unayokusudia? halafu aliyekwambia kiongozi anakubalika na watu wote nani? hii mbinu ya chadema kuwakataa marais walianza kumkataa kikwete awamu ya pili, wakaja kumkataa magufuli hadi bungeni walitoka walikataa kumsikiliza kwahiyo hilo sio jipya ni haki yao kikatiba, kwahiyo wakisema hawamtaki samia ni sawa maana hata samia anaweza kusema hawataki chadema na hamtaki mpina hakuna anayelazimishwa kumpenda mtu sio katika dini wala serikalini, au uliwahi kusikia samia anampenda heche? hivi kweli kwa akili yako unataka chadema waipende ccm ili iwe nn, mbona hilo tunalijua toka zamani.
 
Kwa hiyo, public inapomaanisha watu kwa ujumla, si sawa moja kwa moja na a group of people wala any person.
Cc. Chatgpt.
Hapa tushajua katunga ni mshenzi
Kama public means a person or a group of people hakukuwa na maana ya kutenganisha.
 
Back
Top Bottom