Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Sitaki Lisu ahukumiwe kwa sababu ile ilikuwa siasa. Sasa usiniparamie kihivyo!
Nikuelimishe kidogo kwa faida ya wengi. Jibu la hii kitu imejificha kwenye ''nia'' wakati nafanya jambo, nia ya hili jambo ni nini? Hapo kwenye jibu ndio penye uzito[points]
Nikupe mfano mwingine nje ya kesi inayofuatiliwa.
Kubaka ni kosa. Na tuchukuliee kumtisha mtu ni kosa. Nikisema, ''nitakubaka cocastc kavukavu''
Hapa ikithibitika ulitishika basi nitakuwa nimetenda kosa la kukutisha, ila sio kosa la kubaka (halijatendeka) ambalo kitendo chake ni kukula uloda upende usipende. Mfano huu wa viwanja vile utakuwa umeelewa somo.
Sawa. Umesema ukitishia kumbaka mtu halafu usimbake, hilo ni kosa la kutisha na kutishika sio sawa ubakaji. Sasa turejee kwenye kesi ya Lissu. Je, kutishika kwa serikali ni kosa la kihaini? Na ukumbuke serikali haijathibitisha kama ilitishika (iliingia mitini).

Hata katika kesi ya kupigwa huwezi kusema kuwa fulani alinipiga na kuniumiza. Mpaka daktari athibitishe kama kweli uliumia (kwa vipimo) na athibitishe bila kuacha shaka kwamba maumivu hayo yametokana na kipigo na si chanzo kingine.

Mkuu, uthibitishaji wa tuhuma legally sio kazi rahisi kama unavyodhani, hasa pale mtu anayepaswa kuthibitisha anapoingia mitini. Kingai, Nkunda na Wambura walipoingia mitini walidhani wanamkomoa Lissu kumbe wanaikomoa CCM na machawa wake. Kitendo chao cha kulala mbele ni sawa na kumpiga teke chura.
 
Katuga mbona analeta michezo ya kuziba shimo la panya kwa mkate?

Anatengeneza mazingira Lissu akutwe na hatia lakini pia apewe adhabu ambayo haieleweki kwa mujibu wa vifungu vya Sheria za hukumu..!
 
Sasa huko kutishika si hadi mie mwenyewe nithibitishe kuwa kweli nilitishika ndipo iwe case?

Sasa kwa muktadha wa case hii, ilitakiwa serikali ije hapo mahakamani itoe ushahidi wa kutishika kwake, mbona haijaja? Tena lissu mwenyewe aliwaita waje na hawajaja, itakuaje kosa??
Sidhani
 
Katuga mbona anapuyanga sana? Yaan anarudia maneno hayo hayo submissions yote, au hakuna kingine? Maana naona anarudia kutamka maneno Yale Yale tu.
Khaaah.

Kuwa mpole Shemeji
Mechi ndio kwanza dakika ya kwanza!!!!!
 
‪Maoni kuhusu Kinachoendelea leo Mahakamani.

‪Tundu Lissu wakati wa mawasilisho ya mwisho (final submission) yake ameieleza Mahakama kwamba hakuna kosa dogo katika uhaini. ‬

‪Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru. Akaitaka Mahakama isiogope kutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi. ‬

‪Tundu Lissu aliwaeleza Majaji kama ushahidi wa Jamhuri unaonyesha kwamba ametenda makosa ya uhaini, Mahakama isiogope kumtia hatiani. ‬

‪Hii ilikuwa ni ‘punchline’ muhimu inayogusa moja kwa moja mzigo wa upande wa Jamhuri kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa.‬

‪Lakini kama ushahidi hautimizi viwango vya kisheria vinavyohitajika kuthibitisha uhaini, Mahakama isiogope kumuachilia huru.‬

‪Leo, katika (final submission) hoja zao kuhusu adhabu, Mawakili wa Serikali wamewasilisha tafsiri tofauti kuhusu sheria inayohusika. ‬

‪Mawakili Serikali wanasema Mahakama imepewa utashi (discretion) kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo kwa kosa. ‬

‪Hoja yao ni kwamba matumizi ya neno “liable” yanaipa Mahakama discretion kuamua adhabu, badala ya kufanya adhabu ya kifo kuwa lazima ‬

‪Mawakili wa Serikali wamefafanua hoja yao kwa kurejea case law mbili kueleza tofauti ya “shall be sentenced to death” na “shall be liable”‬

‪Hapa kinachoonekama, upande wa Jamhuri kupitia mawakili wa Serikali, hawataki Tundu Lissu akipatikana na hatua anyongwe hadi kufa.‬

‪Isipokuwa wanataka Mahakama kumfunga gerezani kifungo cha miaka kadhaa na kuweka ‘restrictions’ za kisiasa kwa Tundu Lissu. ‬

‪Jana, Tundu Lissu aliwaeleza majaji kwamba kama kuna ushahidi don’t hesitate to convict me. Kama hakuna uhaini don’t hesitate to acquit me.‬

‪TAL akarejea maneno ya Wakili wa OJ Simpson (Johnnie Lee Cochran Jr) if it doesn’t fit, you must acquit. Kama ushahidi hautoshi, acquit.”‬

‪Kosa la uhaini (treason) chini ya Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) linatambulika kama (capital offense).‬

‪Kosa lenye adhabu moja tu ya lazima (mandatory death penalty): kunyongwa hadi kufa (death by hanging). Hakuna kifungo cha miaka au faini. ‬

‪Tundu Lissu ameiweka Mahakama kwenye njia panda: aidha imtie hatiani kwa adhabu ya kifo au imuachie huru (convict for treason or acquit).‬

‪Jamhuri inajaribu kuleta tafsiri au mabadiliko ya kisheria kwamba Mahakama ina utashi (discretion) wa kutoa adhabu ndogo zaidi ‬

‪Kulingana na marekebisho ya sheria. Hoja hii ya upande wa Jamhuri inalenga kuipa Mahakama fursa ya njia ya katikati (middle ground).‬

‪Tundu Lissu ambaye ni mshtakiwa, anatumia mbinu ambayo inaitwa “All or Nothing”. Tundu Lissu anakataa adhabu yoyote ya katikati.‬

‪Tundu Lissu anaieleza Mahakama “convict or acquit me” anaiongezea Mahakama mzigo mkubwa wa kimamlaka na kijamii (high stakes). ‬

‪Hapo anasisitiza hukumu ya uhaini lazima izingatie ushahidi uliowasilishwa na kuthibitishwa bila kuacha mashaka (beyond reasonable doubt).‬

‪Mawakili wa Serikali (Jamhuri) wao wanatumia mbinu ya kupunguza mzigo wa athari kwa jamii (Mitigation of Impact). Hawataki anyongwe.‬

‪Serikali inatambua kumhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kunyongwa kutaleta shida kubwa sana kwa siasa za ndani na kimataifa. ‬

‪Ndiyo maana wanasisitiza kwamba Mahakama ina utashi (discretion) ya kuchagua adhabu ndani ya wigo mpana, baada ya TAL kukutwa na hatia.‬

‪Kifungo cha miaka kadhaa linaiwezesha Serikali kumuondoa TAL kwenye ulingo wa kisiasa bila kuingia kwenye lawama za adhabu ya kifo‬

‪Ndiyo Tundu Lissu hataki. TAL anasisitiza, kama ushahidi unathibitisha uhaini, convict. Kama ushahidi haujathibitisha uhaini, acquit‬

‪Jamhuri haitaki mhaini wao anyongwe. Wanapendekeza kwa Mahakama, asinyongwe, kwamba apewe adhabu nyingine mbadala.‬

‪Tuendelee kusikiliza final submission ya Jamhuri‬

‪
 
S
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Samia na Kikwete inatakiwa wa... hadharani kila raia akiwa anaona
 
‪Maoni kuhusu Kinachoendelea leo Mahakamani.

‪Tundu Lissu wakati wa mawasilisho ya mwisho (final submission) yake ameieleza Mahakama kwamba hakuna kosa dogo katika uhaini. ‬

‪Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru. Akaitaka Mahakama isiogope kutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi. ‬

‪Tundu Lissu aliwaeleza Majaji kama ushahidi wa Jamhuri unaonyesha kwamba ametenda makosa ya uhaini, Mahakama isiogope kumtia hatiani. ‬

‪Hii ilikuwa ni ‘punchline’ muhimu inayogusa moja kwa moja mzigo wa upande wa Jamhuri kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa.‬

‪Lakini kama ushahidi hautimizi viwango vya kisheria vinavyohitajika kuthibitisha uhaini, Mahakama isiogope kumuachilia huru.‬

‪Leo, katika (final submission) hoja zao kuhusu adhabu, Mawakili wa Serikali wamewasilisha tafsiri tofauti kuhusu sheria inayohusika. ‬

‪Mawakili Serikali wanasema Mahakama imepewa utashi (discretion) kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo kwa kosa. ‬

‪Hoja yao ni kwamba matumizi ya neno “liable” yanaipa Mahakama discretion kuamua adhabu, badala ya kufanya adhabu ya kifo kuwa lazima ‬

‪Mawakili wa Serikali wamefafanua hoja yao kwa kurejea case law mbili kueleza tofauti ya “shall be sentenced to death” na “shall be liable”‬

‪Hapa kinachoonekama, upande wa Jamhuri kupitia mawakili wa Serikali, hawataki Tundu Lissu akipatikana na hatua anyongwe hadi kufa.‬

‪Isipokuwa wanataka Mahakama kumfunga gerezani kifungo cha miaka kadhaa na kuweka ‘restrictions’ za kisiasa kwa Tundu Lissu. ‬

‪Jana, Tundu Lissu aliwaeleza majaji kwamba kama kuna ushahidi don’t hesitate to convict me. Kama hakuna uhaini don’t hesitate to acquit me.‬

‪TAL akarejea maneno ya Wakili wa OJ Simpson (Johnnie Lee Cochran Jr) if it doesn’t fit, you must acquit. Kama ushahidi hautoshi, acquit.”‬

‪Kosa la uhaini (treason) chini ya Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) linatambulika kama (capital offense).‬

‪Kosa lenye adhabu moja tu ya lazima (mandatory death penalty): kunyongwa hadi kufa (death by hanging). Hakuna kifungo cha miaka au faini. ‬

‪Tundu Lissu ameiweka Mahakama kwenye njia panda: aidha imtie hatiani kwa adhabu ya kifo au imuachie huru (convict for treason or acquit).‬

‪Jamhuri inajaribu kuleta tafsiri au mabadiliko ya kisheria kwamba Mahakama ina utashi (discretion) wa kutoa adhabu ndogo zaidi ‬

‪Kulingana na marekebisho ya sheria. Hoja hii ya upande wa Jamhuri inalenga kuipa Mahakama fursa ya njia ya katikati (middle ground).‬

‪Tundu Lissu ambaye ni mshtakiwa, anatumia mbinu ambayo inaitwa “All or Nothing”. Tundu Lissu anakataa adhabu yoyote ya katikati.‬

‪Tundu Lissu anaieleza Mahakama “convict or acquit me” anaiongezea Mahakama mzigo mkubwa wa kimamlaka na kijamii (high stakes). ‬

‪Hapo anasisitiza hukumu ya uhaini lazima izingatie ushahidi uliowasilishwa na kuthibitishwa bila kuacha mashaka (beyond reasonable doubt).‬

‪Mawakili wa Serikali (Jamhuri) wao wanatumia mbinu ya kupunguza mzigo wa athari kwa jamii (Mitigation of Impact). Hawataki anyongwe.‬

‪Serikali inatambua kumhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kunyongwa kutaleta shida kubwa sana kwa siasa za ndani na kimataifa. ‬

‪Ndiyo maana wanasisitiza kwamba Mahakama ina utashi (discretion) ya kuchagua adhabu ndani ya wigo mpana, baada ya TAL kukutwa na hatia.‬

‪Kifungo cha miaka kadhaa linaiwezesha Serikali kumuondoa TAL kwenye ulingo wa kisiasa bila kuingia kwenye lawama za adhabu ya kifo‬

‪Ndiyo Tundu Lissu hataki. TAL anasisitiza, kama ushahidi unathibitisha uhaini, convict. Kama ushahidi haujathibitisha uhaini, acquit‬

‪Jamhuri haitaki mhaini wao anyongwe. Wanapendekeza kwa Mahakama, asinyongwe, kwamba apewe adhabu nyingine mbadala.‬

‪Tuendelee kusikiliza final submission ya Jamhuri‬

‪
Aidha anyongwe au aachwe huru.
Alisha sema muhusika mwenyewe.
 
Aibu tunaona sisi, anacho kizungumza hata hakieleweki. Anajikanyaga tu. Lol

Yuko sahihi ukisoma vizuri kaanza na uthibitisho kutokana na majumuisho ya lissu kuwa kesi ilifunguliwa kimakosa ko anaonyesha article ni vifungu vipi vilipelekea wakafungua kesi ko anajaribu kuionyesha mahakama hilo
Katuga na lisu
Hawa jamaa ni pro sana aisee🙌🙌🙌
 
Imeshapangwa tayari kutoka kizimka.......
 
Yuko sahihi ukisoma vizuri kaanza na uthibitisho kutokana na majumuisho ya lissu kuwa kesi ilifunguliwa kimakosa ko anaonyesha article ni vifungu vipi vilipelekea wakafungua kesi ko anajaribu kuionyesha mahakama hilo
Katuga na lisu
Hawa jamaa ni pro sana aisee🙌🙌🙌
Maelezo yake yamekidhi kuwa ni majibu ya hoja za Lissu?
 
Back
Top Bottom