anastahili, alichekewa sana na jk na maguNi sahihi ila naona sasa nguvu kubwa ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa
anastahili, alichekewa sana na jk na maguNi sahihi ila naona sasa nguvu kubwa ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa
Shangaa wewe, km ushahidi haujitoshelezi, ni wazi hakuna case, sasa mahakama ifanye nini hapo? Hivi huyu Katuga alipitaje huko LS? hadi anapewa uwakili wa serikali ilikuaje? Ndio huyu akasimame kwenye mahakama za kimataifa?Waheshimiwa Majaji, minor contradictions and discrepancies zinaithibitishia Mahakama kwamba, kwa msimamo wa kisheria, hawa mashahidi si mashahidi ambao wamekuwa coached kutoa ushahidi. Katuga.
Kwani kama ushahidi una "Contradictions and discrepancies (minor?) anataka mahakama iamue vipi?
Inawezekana kuna wazalendo walimpenyezea Lissu hizi taarifa mapema.hakuna makosa madogo kwenye kosa la UHAINI. Mauaji (murder) huwa na kosa dogo lake liitwalo KUUA bila kukusudia (manslaughter). kwenye UHAINI hakuna
Inatakuwa ni kunyongwa au kuachiwa huruLissu anafungwa, kila kitu kinajieleza
Alichekewa kivipi? Watu wenye roho mbaya huwa hawana maelezo toshelevu kuhusu matendo mabaya wanayotaka wengine watendewe.anastahili, alichekewa sana na jk na magu
Una level gani ya Elimu ya sharia ?Huijui Sheria Wewe, wait for a big suprise
Asante kwa pumba hizi mkuuanastahili, alichekewa sana na jk na magu
Ukasomee sheria sasa😃Shangaa wewe, km ushahidi haujitoshelezi, ni wazi hakuna case, sasa mahakama ifanye nini hapo? Hivi huyu Katuga alipitaje huko LS? hadi anapewa uwakili wa serikali ilikuaje? Ndio huyu akasimame kwenye mahakama za kimataifa?
Ni Aibu na fedheha.
😂😂😂 itakua patashika vizimbani, sikawiii kuacha sheria na kuanza kumchamba mtu, sitaki upuuzi kabisaa.Ukasomee sheria sasa😃
Kwa nn asinyongwe?Lissu anafungwa, kila kitu kinajieleza
Sijawahi kusikia kesi ya uhaini ya mtu mmoja mahala popote hapa duniani. Yaani mtu mmoja akaiangusha nchi yenye vyombo vyote vya dola tena mtu mwenyewe wala si askari. haya mazingaombwe kwenye kesi hii ni maajabu makuu ya nane hapa duniani.SEHEMU YA 3.
Nassoro Katuga anaendelea:
Lakini pili, kuna ku-manifest by overt act.
Lakini tatu, kuna ku-manifest by deed.
Kwa kuwa maneno yaliyotumika ni “or”, tukachukua manifestation by deed.
Nia yake kwa kitendo cha deed — maneno.
Waheshimiwa Majaji, kwenye manifestation by overt act na deed yanaonyesha kuwa yapo similar.
Neno “deed”, kwa maana ya Black’s Law Dictionary, Third Edition, limetafsiriwa kuwa “Deed is something that is done.”
Lakini the same dictionary ime-define “overt act” kuwa “an outward, physical manifestation.”
Inaendelea mbele kusema “an overt act can constitute evidence of participation in conspiracy even though the act itself is not...”
Kwa hiyo, Waheshimiwa Majaji, mtaona wazi haya maneno “overt act” na “deed” — they are not similar.
Ndiyo maana, Waheshimiwa Majaji, kuonyesha utofauti kwenye kesi ya Hatibu Ghandi and Others vs Jamhuri, TLR 196, Na. 12, katika ukurasa wa 67.
Walisema maneno ya individual hayatengenezi uhaini.
Ndiyo wanachojadili, Waheshimiwa — overt act.
Kwa hiyo, kwenye kesi hii, ili overt act iwe proved, lazima aonekane amefanya nini.
Kwenye hii kesi hakukuwa na hii manifestation by deed.
Lakini, Waheshimiwa Majaji, tunaona pia ni busara niwaalike kwenye tafsiri ya manifestation katika Oxford Dictionary, Edition ya Nane.
Ime-define “manifest” as “to show something clearly, an attitude or quality” — ndiyo maana yake.
Waheshimiwa Majaji, tumeiambia Mahakama hii Tukufu, manifestation iliyofanyika hapa ni manifestation by deed.
Deed ya nini? Kitendo chake cha kutoa na kusambaza maneno.
Waheshimiwa Majaji, hata neno “utter” limekuwa defined katika kifungu cha 5:
“Includes or dealing with or an attempt to use or deal with...”
As I said before, “utter” ni kitendo; lazima kiambatane na kitu gani mbele.
😃😃😃Utafungiwa kama Fatma Karume mapema sana😂😂😂 itakua patashika vizimbani, sikawiii kuacha sheria na kuanza kumchamba mtu, sitaki upuuzi kabisaa.
Kuna sababu ya kuua we kum?wakati wa magu na jk nani alichoma mabasi, stendi, nyumba nk?
kwahiyo serikali iliamua kuua bila sababu?
Nifungiwe tu, yaan sipati picha siku nakua hata shahidi, afu kwenye Cross examination, niulizwe swali halihusianiani na shitaka, huyo muulizaji atajuta kabisaa,😃😃😃Utafungiwa kama Fatma Karume mapema sana
Mjane, yule form four failure!nani kawapa maelekezo?
Hapa ikithibitika ulitishika basi nitakuwa nimetenda kosa la kukutisha, ila sio kosa la kubaka (halijatendeka) ambalo kitendo chake ni kukula uloda upende usipende. Mfano huu wa viwanja vile utakuwa umeelewa somo.
Kwahiyo hayo maneno ndiyo ya uhaini?“Pale ambapo tunataka mambo yetu yawafikie umma huwa tunawaalika waandishi wa habari, na pale ambapo hatutaki iwafikie umma tunawataka waandishi wa habari watoke.” Lissu. Huyu safari hii ameyakanyaga alizoea kuwasumbua kikwete na magu