Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Nassoro Katuga kaamua kuwa mfasiri wa kamusi za TUKI Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili UDSM na ile ya Oxford Dictionary badala ya kujikita kujenga hoja ya ushawishi kisheria
1790685374239.png

1790689414682.png
 
... wanaishauri mahakama itoe adhabu mbadala kinyume na sheria inavyoelekeza kuhusiana na kosa aliloshtakiwa nalo 🤣🤣🤣.
Hapo sasa, ajabu iliyoje. 😂😂😂
 
Katuga kaamua kuwa mfasiri wa kamusi za TUKI Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili UDSM na ile ya Oxford Dictionary badala ya kujikita kujenga hoja ya ushawishi kisheria
😂😂😂
 
gentleman,
sina haja ya kubabaika na porojo au dhana potofu na useless kama hizo,

mtu badala ajikite kwenye hoja mahususi mezani ana expose jinsi alivyo empty head jukwaani na alivyo na mihemko nonsense badala ya kutoa maoni na mawazo yake huru jukwaani dhidi ya hoja mahususi 🐒
unachekesha sana😁
 
Sasa huko kutishika si hadi mie mwenyewe nithibitishe kuwa kweli nilitishika ndipo iwe case?

Sasa kwa muktadha wa case hii, ilitakiwa serikali ije hapo mahakamani itoe ushahidi wa kutishika kwake, mbona haijaja? Tena lissu mwenyewe aliwaita waje na hawajaja, itakuaje kosa??
Akikujibu nitag.
 
Zaidi ya hapo, kushindwa kutoa ushahidi wa ''kutishika mpaka kuathiri utendaji wa majukumu yake (kupindua/kupinduka)
Yes. Wasidhani kutoa ushahidi mahamani ni kama kutunga nyimbo za taarabu. Halafu kuna lile suala la kuweka neno altering badala ya uttering kwenye hati ya mshitaka. Hili katuga hajalitolea ufafanuzi baada ya kuona ni goli la mkono walilojifunga wenyewe.
 
SEHEMU YA 10.

DW4 anasema yeye alikuwepo tarehe 23 Aprili 2025 na alimsikia mshtakiwa akisema, “Kwani tukikinukisha watatuua? Kwani si watanikamata na kunifungulia kesi ya uhaini?”

This is purely treasonous intention.

Inaonyesha wazi kwamba mshtakiwa alitamka au alifanya vitendo vile vya maneno akiamini kwamba anachokifanya ni uhaini.

Chini ya kiapo, mshtakiwa alisema ni kweli kwamba alitamka maneno hayo kwamba, “Sanasana watatukamata na kutufunga.”

Waheshimiwa Majaji, kwenye hiyo hiyo kesi ambayo nimeirejea kuhusiana na ushahidi wa mshtakiwa, ninamalizia kwa kusema ushahidi wa mshtakiwa ni “the best evidence against him.”

Waheshimiwa Majaji, labda Mahakama hii Tukufu itajiuliza, kweli zile kauli zilichochea umma?

Waheshimiwa Majaji, Mahakama yenu Tukufu haitapata tabu kupata jibu la kama hizi kauli ni za kichochezi au zilichochea.

Waheshimiwa Majaji, upande wa Jamhuri tumeleta ushahidi wa mashahidi waliosema waliathiriwa na yale maneno.

Waheshimiwa, mashahidi hao ni P6 kama PW5, P4 kama PW10, P2 kama PW7, P8 kama PW8, P3 kama PW13 na P9 kama PW14.

Waheshimiwa Majaji, mashahidi hawa wote, kwa nyakati tofauti, waliiambia Mahakama hii kwamba walichocheka na maneno ya Mwenyekiti wao.

Wengine ni wafuasi na wengine ni wapenzi, yaani watu wanaompenda Mwenyekiti ambaye hapa ni mshtakiwa.

Waheshimiwa Majaji, katika ukurasa wa 397, shahidi ameiambia Mahakama kwamba amepanga kumsupport Mwenyekiti kwa kuungana, kupiga na kufanya vurugu kwa kuwarushia mawe.

Waheshimiwa Majaji, ushahidi wa mashahidi hao wenyewe unaungwa mkono na mashahidi wa upande wa utetezi kuanzia DW1 hadi DW4.

Ukimtoa DW5, ambaye alikuwa anasema, “sijui, sijui, sijui.”

Wengine wote wanasema Mwenyekiti hakufafanua aliposema, “tutahamasisha uasi kuvuruga uchaguzi”; hakufafanua aliposema, “tutazuia uchaguzi.”

Waheshimiwa Majaji, tunasema hawa watu walikuwa na haki ya kuchocheka, tukikopa maneno ya mshtakiwa kwamba yeye ni mtu anayeaminika.

Walikuwa na haki ya kuamini na kufanyia kazi maneno ya mshtakiwa kwa kuwa anaaminiwa na kuaminika.

Na ushahidi wa kwamba yeye ni mtu wa kuaminika tunaupata katika ukurasa wa 562 wa rekodi za Mahakama.
 
Mbali na mashauri mengi, lakini ni moja ya kesi inaonyesha hata kama hujawa informed na charge, lakini ushahidi unaweza kukufanya ujiandae na utetezi.

Mahakama yenu itaangalia nature ya ushahidi wa Prosecution na utetezi.

Je, wakati anajitetea alikuwa haelewi au alikuwa anaelewa anachojitetea?
What...! Hivi jamani mbona aibu naona mie, katuga mbona unatuzalilisha wataalamu wa sheria jamani. Yaani anachokisema hapa ni kwamba unaweza kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kesi ya bangi na usiambiwe kabra kwamba kesi yako ni ya bangi.. alafu baadae ujitete kwenye ushaidi wa mastaka. Mfano wa ushaidi huo tuseme hivi Ulibeba gunia tatu za bangi na kumpa Juma na zingine kuzificha kwako, je mnaziuzaga kwa nani bangi hizo?

Alafu wewe ujitete hapo kweli.....
Jamani hii kesi imekaa kisiasa lakini mimi nipo hapa kwa misingi ya kisheria kwaiyo mtu akisema namtetea lissu, please embu fikiria kwanza kuhusu kufunguliwa kesi kabra ya kuijua hiyo kesi yenyewe inahusu nini, yaani unafikisha kizimbani kwa Mauwaji alafu ndo ujitete yaani hata maelezo yako ukuchukuliwa si ndio maana yake.?

Nilishasema toka mwanzo kwenye reply yangu hii kwamba, Katuga kasema kwamba Jamhuri iliandaa hati ya mashtaka kwa kifungu cha 135 cha CPA lakini nikasema kifungu hicho hakimpa accused Taarifa ya kutosha kuhusu Nature ya Offense now anatetea hati yake ya mashtaka kwa kusema kwamba Unaweza kuambiwa baadae kuhusu hilo baada ya kesi kuanza sio lazima kabra ya shauri kufunguliwa.
PW1 George Bagyemu katika ushahidi wake anaiambia Mahakama kwamba Mshtakiwa alitoa maneno ya kutishia Serikali.

Serikali ambayo jukumu lake ni kulinda sheria, na uchaguzi unatokana na sheria.

Hivyo kutishia uchaguzi ni kutishia Serikali.

Shahidi wa 6, katika ukurasa wa 445, PW16 anaiambia Mahakama hii kwamba maneno yale yanatishia Serikali ambayo ina jukumu la kulinda nchi.

Na maneno hayo yalilenga amani na utulivu.

Na kwamba wenye jukumu la kulinda amani na utulivu...

Katika ukurasa huohuo, shahidi anasema maneno hayo hayakulenga tu kuvuruga amani.

Kwa hiyo Waheshimiwa Majaji, Shahidi PW16 anaelezea kwamba maneno ya Mshtakiwa yatahamasisha uasi na atavuruga uchaguzi.

Ni vitisho dhidi ya Serikali, ambapo ni jukumu la Serikali kulinda hizo sheria.
Ibara ya 34(2) inatoa mamlaka kwa serikali kuhifadhi katiba na mambo yanayotungwa na bunge lakini imeweka mipaka kwa vyombo njee ya bunge. Kwanini hoja hii kwamba "Serikali kazi yake kulinda sheria sio sahihi", kwasababu.

1. Kuchanganya "kutunza sheria" na "kutishia Serikali"
Ingawa Serikali ina wajibu wa kutunza sheria, uhaini chini ya Kifungu cha 39(2)(d) unahusu vitendo vinavyolenga muundo wa kikatiba au usalama wa taifa, si maandamano ya kisiasa kuhusu uchaguzi. "Kutunza sheria" ni wajibu wa kiutawala, si kigezo cha kupanua upeo wa uhaini.

2. Kutegemea mashahidi badala ya vigezo vya kisheria
Ushahidi wa PW1 na PW16 kwamba "maneno yanatishia Serikali" ni maoni ya mashahidi (opinion evidence), si ushahidi wa ukweli wa kisheria. Mahakama haiwezi kutegemea maoni ya mashahidi ili kubaini kama kosa la uhaini limefanyika; ni lazima vigezo vya kisheria vilivyowekwa katika kesi za Grey Likungu na Hatibu Gandhi vitimizwe.
 
Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.

Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Matendo yao yanachochea wananchi kuwakataa, nayaona ya October 29 yakijirudia.
 
Sasa huko kutishika si hadi mie mwenyewe nithibitishe kuwa kweli nilitishika ndipo iwe case?

Sasa kwa muktadha wa case hii, ilitakiwa serikali ije hapo mahakamani itoe ushahidi wa kutishika kwake, mbona haijaja? Tena lissu mwenyewe aliwaita waje na hawajaja, itakuaje kosa??
Hii ni case ya kijinga sana. Tatizo tu Tanzania sio nchi ya haki. Walishapewa maelekezo ya hukumu
 
Sasa Katuga kwanini anatumia kifungu ambacho hakikuwahi kutumika? Kwanini asitumie vilivyokua au kwisha tumika hapo zamani au kabla ya case hii?

Ndio maana ana unga unga na kuokoteza maneno kwa kuwa hicho kitu hakipo wala hakikuwepo kwenye case ya aina hii, anajaribu kushawishi mahakama itumie kitu kipya, kwa maslahi ya nani? Na kwa ajiri ipi?

Kazi i

Hii ni case ya kijinga sana. Tatizo tu Tanzania sio nchi ya haki. Walishapewa maelekezo ya hukumu
nani kawapa maelekezo?
 
What...! Hivi jamani mbona aibu naona mie, katuga mbona unatuzalilisha wataalamu wa sheria jamani. Yaani anachokisema hapa ni kwamba unaweza kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kesi ya bangi na usiambiwe kabra kwamba kesi yako ni ya bangi.. alafu baadae ujitete kwenye ushaidi wa mastaka. Mfano wa ushaidi huo tuseme hivi Ulibeba gunia tatu za bangi na kumpa Juma na zingine kuzificha kwako, je mnaziuzaga kwa nani bangi hizo?

Alafu wewe ujitete hapo kweli.....
Jamani hii kesi imekaa kisiasa lakini mimi nipo hapa kwa misingi ya kisheria kwaiyo mtu akisema namtetea lissu, please embu fikiria kwanza kuhusu kufunguliwa kesi kabra ya kuijua hiyo kesi yenyewe inahusu nini, yaani unafikisha kizimbani kwa Mauwaji alafu ndo ujitete yaani hata maelezo yako ukuchukuliwa si ndio maana yake.?

Nilishasema toka mwanzo kwenye reply yangu hii kwamba, Katuga kasema kwamba Jamhuri iliandaa hati ya mashtaka kwa kifungu cha 135 cha CPA lakini nikasema kifungu hicho hakimpa accused Taarifa ya kutosha kuhusu Nature ya Offense now anatetea hati yake ya mashtaka kwa kusema kwamba Unaweza kuambiwa baadae kuhusu hilo baada ya kesi kuanza sio lazima kabra ya shauri kufunguliwa.

Ibara ya 34(2) inatoa mamlaka kwa serikali kuhifadhi katiba na mambo yanayotungwa na bunge lakini imeweka mipaka kwa vyombo njee ya bunge. Kwanini hoja hii kwamba "Serikali kazi yake kulinda sheria sio sahihi", kwasababu.

1. Kuchanganya "kutunza sheria" na "kutishia Serikali"
Ingawa Serikali ina wajibu wa kutunza sheria, uhaini chini ya Kifungu cha 39(2)(d) unahusu vitendo vinavyolenga muundo wa kikatiba au usalama wa taifa, si maandamano ya kisiasa kuhusu uchaguzi. "Kutunza sheria" ni wajibu wa kiutawala, si kigezo cha kupanua upeo wa uhaini.

2. Kutegemea mashahidi badala ya vigezo vya kisheria
Ushahidi wa PW1 na PW16 kwamba "maneno yanatishia Serikali" ni maoni ya mashahidi (opinion evidence), si ushahidi wa ukweli wa kisheria. Mahakama haiwezi kutegemea maoni ya mashahidi ili kubaini kama kosa la uhaini limefanyika; ni lazima vigezo vya kisheria vilivyowekwa katika kesi za Grey Likungu na Hatibu Gandhi vitimizwe.
Watu wenye upeo mdogo wa sheria hawawezi kukuelewa
 
tulia basi kama mahakama haiwezi kutegemea ushahidi wa mashahidi si ndio utulie jamhuri itashindwa kesi unapaparika nn
 
Back
Top Bottom