Mo29 haihusiki hapa, Lisu alikuwa ndani. vinginevyo thibitisha mana wakuu wa usalama walikula kona.Na kwenye hii kesi, suala la serikali kutishika ni la muhimu kujulikana kwa sababu endapo ilitishika huo mwezi April, kuna idara nyeti za serikali kama TISS, Polisi walipaswa kuchukua hatua kuzima jaribio lolote la tishio la usalama wa Taifa...
Kuoneshankwamba hakukua na tishio lolote kwao, MO29 iliweza kufanyika kimasihara masihara...
Labda kama kamkamua mazeri wako!Hiyo ya kuunda maneno yako, lakini dunia yote inaona anavyo kamua
wakati wa magu na jk nani alichoma mabasi, stendi, nyumba nk?
kwahiyo serikali iliamua kuua bila sababu?
ndio, kama ambavyo wao waliona sababu ya kuchoma sheli, mabasi, stendi, nyumba, wizi nkKuna sababu ya kuua we kum?
Kina nani hao?ndio, kama ambavyo wao waliona sababu ya kuchoma sheli, mabasi, stendi, nyumba, wizi nk
she is your president.Mjane, yule form four failure!
Katuga banah. Hivi unaweza kupima kuchocheka kwa mtu kama hajatenda? Huyu jamaa ningekuwa huko mahakamani angechezea ngumi za kutosha mbele ya hao majaji wake. Alipeleka upuuzi mtupu mahakamani.SEHEMU YA 16.
Nassoro Katuga:
Waheshimiwa Majaji, hoja nyingine ilikuwa kwamba hawa Mashahidi ambao ni Police Officers na wale Mashahidi ambao walichocheka, P5, P6, P7 na P9, ni Mashahidi ambao wana maslahi.
Ni Mashahidi ambao mara ya kwanza walikamatwa kama Watuhumiwa na baadaye wakageuzwa kuwa Mashahidi.
Waheshimiwa Majaji, tukianza na Mashahidi ambao walikuwa washitakiwa na baadaye wakaja kuwa Mashahidi, Kifungu cha 151 cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 na marekebisho ya 2023, kinasema kwamba kama washitakiwa walikuwa wamechocheka na kufanya vurugu ya uchaguzi, ni washitakiwa wenza.
Walikuwa na maslahi katika kesi hii baada ya kufutiwa kesi zao.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, Waheshimiwa Majaji, hawa wapo competent na wapo sawa kutoa ushahidi.
Waheshimiwa, principle ya ushahidi wenye maslahi inataka kuonyesha kwamba shahidi huyu, kwa kuwa ana maslahi, anaiongopea Mahakama?
Hoja ya msingi: waliona video, hawakuiona? Walichocheka au hawakuchocheka?
Waheshimiwa, maneno haya yapo katika kesi ya Basildi John Mlayi Vs Jamhuri, Criminal Appeal Number 306 ya mwaka 2008, imepandishwa TanzLII October 2022, Waheshimiwa.
Katika ukurasa wa 25, Mahakama ya Rufani ilisema, “the concept of witness...”
Waheshimiwa, kikubwa hapa, you have to prove they have lied.
Haiishii tu kulalamika kwamba wana maslahi.
Tunamalizia kauli yetu: “This court is not yours, Mother.”
Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie hoja ya mwisho kabisa.
Hoja ya mwisho ilikuwa ni malalamiko kuhusiana na maelezo yaliyopo katika Police Statement dhidi ya yaliyopo Mahakamani.
Maelezo haya yakitolewa chini ya Kifungu cha 163 cha Sheria ya Ushahidi.
Lakini kilichofanyika kwa kiasi kikubwa ni kuonyesha omission, hata pale ambapo kulikuwa na contradiction, ilikuwa ni minor.
Kwa mfano, kwenye statement uliweka dini yako ni Muislamu, halafu hapa unasema Mkristo. Hilo ni jambo dogo.
Lissu aliongea kwa siku NNE mfululizo Asubh na mchana.Halafu huyo "katuga" mbona hamalizi hiyo submission wakati alisema atachukua muda mfupi au ameenda kusikiliza maoni kutoka CCM?
We Tilalilah huyo ngatuga wako ndio anafanya kitu gani hapo mbona kama amepanic.msisahau cattons of drinking water kwajili ya mtuhumiwa kizimbani plz 🐒
alikuwa hajitetei. Alikuwa akifundisha Sheria. kama hukujifunza kwenye zile nondo utaendelea kuwa kilaza maisha yako yotehata lissu asingetumia siku 4 kujitetea.
Ni Katuga mwenyewe ndiye aliyesema kuwa hatatumia muda mwingi kama lissuLissu aliongea kwa siku NNE mfululizo Asubh na mchana.
anapanic vip na kazi imeisha gentleman?We Tilalilah huyo ngatuga wako ndio anafanya kitu gani hapo mbona kama amepanic.
#YBWYB#

Kazi ya kukusuguaanapanic vip na kazi imeisha gentleman?![]()
Yale maneno, asingetumia jukwaa la kisiasa, ingeweza kuleta maana flani. Hilo mnaluka kama hamlioniHiyo ya kuunda maneno yako, lakini dunia yote inaona anavyo kamua
Badala ya kufanya submision anatoa tafsiriSEHEMU YA 4.
Nassoro Katuga anaendelea:
Hata kwenye Penal Code kuna makosa ya neno “utter”.
Neno “utter” ni kitendo.
Kitendo cha kusudio lake nini?
“Utter” ni verb, haiwezi kusimama peke yake katika tafsiri ya sheria; it’s not a noun.
“By his deed of uttering.”
Kwa hiyo, tafsiri rahisi, kutoa maneno ni kitendo cha kutamka maneno.
Ndiyo maana kuna kosa linalotokana na uttering.
Kwa tafsiri ya sheria, uttering ni kitendo.
Waheshimiwa Majaji, tunalichukua hili kwa kuzingatia kwamba mens rea na actus reus ndiyo chanzo cha kosa.
Kifungu cha 89(1)(a) cha sheria, Kanuni ya Adhabu.
Shitaka limekamilika kwa kuzingatia mens rea na actus reus, kwamba kuna kosa la kutoa maneno.
Yapo makosa mengi ambayo ni ya kutoa maneno, hata vitisho.
Kama maneno ni kitendo, basi jibu ni ndiyo.
Hati ya mashitaka inasema pamoja na kutoa maneno, lakini aliyasambaza.
Waheshimiwa Majaji, kifungu cha 39 kimetumia “publication” kwa sehemu mbili.
Waheshimiwa Majaji, tafsiri ya “publish”, according to Oxford Advanced Learner’s Dictionary, inasema:
“Publish is to make known information to the public.”
Synonym, kwamba taarifa fulani ijulikane kwa umma.
Haya ndiyo maneno labda Mahakama hii Tukufu ingependa kujiuliza yalivyotumika katika hati yetu ya mashitaka.
Waheshimiwa Majaji, kwenye hiyo hiyo hati ya mashitaka Mahakama yenu ingependa kuyaona.
Kwa kifupi, yalilenga kuitishia Serikali, ukiangalia kuna kufunga na kufungua semi yalivyotumika.
Jukumu la kuchambua maneno yapi yalitishia Serikali katika maneno laki moja siyo dhumuni la kifungu cha 5.
Tumechagua maneno machache yanayotishia Serikali kati ya maneno mengi.
Waheshimiwa Majaji, swali la kujiuliza: Haya maneno ni sentensi zilizokamilika kuleta maana?
Siwezi chagua rais kilaza, huyo kawekwa kwa njia ya mtutu wa bunduki..watz walio wengi WALIMKATAA ile 29 oct!she is your president.
Katuga ana pointi gani za kuongea kwa siku 4 mkuu?Lissu aliongea kwa siku NNE mfululizo Asubh na mchana.