Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #301
Vipi yule aliyesema ana magari mawili chini ya kiapo, wakati ana magari matano? Yeye hajatoa contradiction?
Ambapo kisheria siyo contradiction, ni further elaboration of the witness.
Waheshimiwa Majaji, maneno haya pia wala siyo yangu.
Court of Appeal kwenye kesi ya Abel Oruwa @ Mtiku and Others Vs Jamhuri, Criminal Appeal Number 441 ya 2020, ambayo imepandishwa TanzLII tarehe 21 October 2024, katika ukurasa wa 23.
Mahakama ya Rufani katika ukurasa wa 23 inasema, akianzia ukurasa wa 22:
“PW4 katika ushahidi wake alitoa maelezo ya ziada alipohojiwa Polisi.”
Waheshimiwa Majaji, maelezo yote kuanzia P1 hadi P16 hawakuwa wameeleza mambo mengi, zaidi ya kwamba ushahidi wao haujahama.
Kama palikuwa na contradiction, ilikuwa ni minor ambayo haikugusa mzizi wa kesi yetu.
Waheshimiwa Majaji, kwa kusema hayo, hii submission yetu iliyokuwa ndefu na kuchukua siku moja, yenye ku-focus kwenye issues, ni submission yetu kwamba upande wa Jamhuri umethibitisha pasipo kuacha shaka.
Wakati mnachambua ushahidi, ni wazi kwamba mshtakiwa katenda kosa.
Na Waheshimiwa, naongea na wenzangu, wanasema hawana cha kuongeza kwa kule ambacho nimeki-submit mbele yenu.
Waheshimiwa Majaji, kwa kumaliza kusema hayo, labda na sisi tupate nafasi ya sekunde tano tuweze kuwashukuru.
Kwa kipindi chote cha tangu 22 September 2025 mpaka mwisho wa mwezi September mwaka huu, kwa kutusikiliza mashahidi wetu, tutakuwa tumenyimwa shukrani tusiposema hayo kwa jinsi ambavyo Mahakama imetutreat. Lakini pale ambapo kama binadamu tulikosea...
Waheshimiwa Majaji, tunaomba tumshukuru pia kaka yetu kwa taaluma na umri pamoja; alitukataa kwa kiungwana kwa kipindi chote tulichokuwa naye.
Sisi kwa Jamhuri hatujui na cha ziada kilichojengeka mioyoni mwetu zaidi ya kuthibitisha shtaka na kuacha Mahakama ikatafsiri tuliyoyasema.
Baada ya kusema haya, nashukuru.
(Anakaa)
Jaji Ndunguru: Mshtakiwa.
Lissu: Mimi nilimaliza jana. (Huku anatabasamu.)
Jaji Ndunguru: Basi tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka.
Kwa leo tunaishia hapa.
Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Shauri ni refu.
Ushahidi ni mrefu.
Tunahitaji muda.
Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.