Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Wewe ndio huna unachokijua, ukipewa buku 8 ukawekewa bundle kwa tablet bas unahisi umemaliza mwenyewee, full kudemka.
Mxxxiiieeew.
ok,
relax bas na utulize mihemko jukwaani na itapendeza zaidi.

usipotoshe tena wadau wa Jf kwa porojo namna ile okay?

situmii tablet natumia Infinix hot 8 ya mwaka 2021. Mimi ni wananchi wa kawaida tu 🐒
 
umma (people) ya CHADEMA na umma ya Katuga (Public) ni mambo mawili tofauti.
“Public” ina maana pana zaidi ya watu pekee.
ExpressionMeaning
Public peopleWatu wa umma
Public propertyMali ya umma
Public serviceHuduma ya umma
Public informationTaarifa za umma
Public meetingMkutano wa wazi kwa umma
Public interestMaslahi ya umma
Public sectorSekta ya umma
 
Hii ni kesi ya mtego na aibu sio kwa mahakama ni kwa majaji wanaoisikiliza na kuiamua. Hii kesi ikiamuliwa basi itakuwa moja ya kesi za ajabu kuwahi kutokea katika vyumba vya mahakama; na aibu itakuwa kwa wale walioiamua.

Hii kesi inaweza kuleta aibu ya kudumu na ya kihistoria kwa majaji hao watatu. Inaweza kuja kuwa ni kesi "cheshi", kama ile ya "Kipenguria six" iliyowahukumu akina Jomo Kenyatta na wenzie watano kwenda jela maisha, enzi za ukoloni hapo Kenya. 😊

Sema tuu ile kesi, ilikuwa ya kikoloni, lakini ndio ilizua neno maarufu kama "Kangaroo Court", na mpaka sasa inatumika kama rejea kwenye mahakama na shule za sheria sababu iliamuliwa. 😊
 
Katuga pia anataka mahakama ikinusa tu harufu ya kesi basi iwe imeshashiba kwa kula. Maana yake anataka Isiende kwenye kuthibitisha pasipo na shaka maana ikifanya hivi itakuwa inawaachia wakosaji.

Yan kina Yericko Nyerere nitakuwa nawaita makatuga badala ya vilaza. Tumepata msamiati mpya mjini.
 
SEHEMU YA 5.

Nassoro Katuga anaendelea:

Kazi ya hati ya mashitaka ni kutoa reasonable information.

Kutoa taarifa kosa gani limepatikana, kosa gani kalitenda.

Sentensi hizi zimekamilika; hazihitaji ku-clarify ili kuleta maana.

Waheshimiwa Majaji, kwa kuelekeza kwa kirefu sana kwa sababu ni shitaka kubwa, naomba niguse kidogo kwenye adhabu.

Waheshimiwa Majaji, kifungu hiki cha 39(2)(d) kinasema mshtakiwa akikutwa na hatia basi atakuwa “liable”.

Underline neno “shall be liable”, if not to bold.

Inamaanisha adhabu katika shitaka hili ni kuanzia sifuri (condition) up to death penalty.

Neno “shall be liable”, ambalo linaipa Mahakama hii discretion, siyo maneno yangu. Naomba niwape:

Bahati John vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 114 ya mwaka 2019, TanzLII 2022, katika ukurasa wa sita.

Mahakama ya Rufaa ilirejea kesi ya Opoya vs Uganda (1967) 752, Court of Appeal for East Africa.

Ilisema kwamba “they are not mandatory but provide the sentence...”

Inamaanisha Mahakama, kwa utashi wake, inaweza ku-impose penalty.

Kwa maana nyingine ya kisheria, haipo under maximum.

Inaipa Mahakama yetu utashi wa hukumu in case kuna hatia.

Siyo tu kwenye hiyo case, bali kuna Sentence Guidelines za CJ za mwaka 2023.

Maneno yanamaanisha Mahakama kuwa na utashi.

Aya ya kwanza, aya ndogo ya 6(1).

Hii Guidelines imeelezea maneno gani yakitumika kwenye sheria, Mahakama inapewa discretion ya kutoa adhabu.

Na neno “liable” ni moja wapo ya maneno ambayo yanatoa discretion kwa Mahakama.

Naomba sasa twende kwenye hoja ya msingi — jukumu la Jamhuri ambalo tunaambiwa ni kuthibitisha.

Waheshimiwa Majaji, tupo aware kwamba jukumu hili kwa Jamhuri tumepewa katika kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6, Urekebu wa 2023.

Kwa kuanza, Waheshimiwa Majaji, kwa tafsiri ya kifungu cha 39(2)(d) na kwa ushahidi uliotolewa,

it’s our submission kwamba jukumu la kuthibitisha kwa mujibu wa kifungu cha 3(2)(a) limetimilishwa.

Lakini pia, mbali na upande wa Jamhuri kuthibitisha, tunajua ni sheria kuzingatia ushahidi wa defence wakati wanaamua.

Waheshimiwa, mtaona upande wa utetezi hawajauteteresha hata kidogo, zaidi ya “sijui”, “sikumbuki” kuwa nyingi.

Waheshimiwa Majaji, kifungu ambacho tumekirejea cha 3(2)(a) kinataka kuthibitisha beyond reasonable doubt.

Waheshimiwa, ku-prove beyond reasonable doubt haimaanishi kuthibitisha pasipo kuacha kivuli.

Hiyo siyo tafsiri sahihi ya kifungu cha 3.
Kumbe upande wa serikali shida yao siyo kumnyonga Lisu bali wanataka Lisu afungwe jela miaka kdhaa wao wamalizie mambo yao uraiani.

Sasa kwa nini wakampa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo?

Lisu yuko mbele ya muda, ni either ahukumiwe kunyongwa au wamuachie huru.

Hii inaitwa ukiinama mshale, ukiinuka mshale.
 
Katiga ana
Anataka pia kupendekeza vijiadhabu vidogo vidogo ili tu kumuondolea TAL credibility kwenye kugombea madaraka ya umma. Yeye alishasema hakuna hiyo! Ni ama umnyonge au umuachie huru. Katuga asilete Ukatuga (Ukilaza) wake kuturubuni hapa
SEHEMU YA 5.

Nassoro Katuga anaendelea:

Kazi ya hati ya mashitaka ni kutoa reasonable information.

Kutoa taarifa kosa gani limepatikana, kosa gani kalitenda.

Sentensi hizi zimekamilika; hazihitaji ku-clarify ili kuleta maana.

Waheshimiwa Majaji, kwa kuelekeza kwa kirefu sana kwa sababu ni shitaka kubwa, naomba niguse kidogo kwenye adhabu.

Waheshimiwa Majaji, kifungu hiki cha 39(2)(d) kinasema mshtakiwa akikutwa na hatia basi atakuwa “liable”.

Underline neno “shall be liable”, if not to bold.

Inamaanisha adhabu katika shitaka hili ni kuanzia sifuri (condition) up to death penalty.

Neno “shall be liable”, ambalo linaipa Mahakama hii discretion, siyo maneno yangu. Naomba niwape:

Bahati John vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 114 ya mwaka 2019, TanzLII 2022, katika ukurasa wa sita.

Mahakama ya Rufaa ilirejea kesi ya Opoya vs Uganda (1967) 752, Court of Appeal for East Africa.

Ilisema kwamba “they are not mandatory but provide the sentence...”

Inamaanisha Mahakama, kwa utashi wake, inaweza ku-impose penalty.

Kwa maana nyingine ya kisheria, haipo under maximum.

Inaipa Mahakama yetu utashi wa hukumu in case kuna hatia.

Siyo tu kwenye hiyo case, bali kuna Sentence Guidelines za CJ za mwaka 2023.

Maneno yanamaanisha Mahakama kuwa na utashi.

Aya ya kwanza, aya ndogo ya 6(1).

Hii Guidelines imeelezea maneno gani yakitumika kwenye sheria, Mahakama inapewa discretion ya kutoa adhabu.

Na neno “liable” ni moja wapo ya maneno ambayo yanatoa discretion kwa Mahakama.

Naomba sasa twende kwenye hoja ya msingi — jukumu la Jamhuri ambalo tunaambiwa ni kuthibitisha.

Waheshimiwa Majaji, tupo aware kwamba jukumu hili kwa Jamhuri tumepewa katika kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6, Urekebu wa 2023.

Kwa kuanza, Waheshimiwa Majaji, kwa tafsiri ya kifungu cha 39(2)(d) na kwa ushahidi uliotolewa,

it’s our submission kwamba jukumu la kuthibitisha kwa mujibu wa kifungu cha 3(2)(a) limetimilishwa.

Lakini pia, mbali na upande wa Jamhuri kuthibitisha, tunajua ni sheria kuzingatia ushahidi wa defence wakati wanaamua.

Waheshimiwa, mtaona upande wa utetezi hawajauteteresha hata kidogo, zaidi ya “sijui”, “sikumbuki” kuwa nyingi.

Waheshimiwa Majaji, kifungu ambacho tumekirejea cha 3(2)(a) kinataka kuthibitisha beyond reasonable doubt.

Waheshimiwa, ku-prove beyond reasonable doubt haimaanishi kuthibitisha pasipo kuacha kivuli.

Hiyo siyo tafsiri sahihi ya kifungu cha 3.
Mashahidi wa utetezi huwezi kuwateteresha hata kidogo sio jukumu lao hilo ni jukumu lako kuwateteresha, Lisu alifanya kazi yake ya kuwateteresha mashahidi wa serikali ndo maana wakawa na ndimi mbili.
Mashahidi kusema sikumbuki,sijui inategemea umewauliza nini na swali lako linalenga kitu gani.
Mahakama ina chaguzi mbili tu kwenye kesi ya uhaini ama mtu anyongwe au aachiwe hakuna adhabu ndogo .Katuga anarejelea kesi ambazo sio za uhaini kui guide mahakama kuwa mahakama inaweza kufanya maamuzi kwa kurejelea hizo kesi kitu ambacho no nonsense
 
Hawa Mawakili wa Selikali hamnazo kabisa.
Ndio maana

1.wanaingia Mikataba ya Hovyo.
2.lKila Kesi wanashindwa mahakamani.
3.Wanabambikia watu kesi za uongo.

NA WALAANIWE VIONGOZI WA NCHI WASIOTENDA HAKI WANAONEA WATU WAKE.
Amen
 
Kwa ridhaa yenu, tunaiomba Mahakama yenu ijiulize maswali yafuatayo:

1. Kwa mujibu wa mashitaka haya, iangalie kama Mshtakiwa ana utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Tunaiomba Mahakama hii ijiulize kama Mshtakiwa alitengeneza nia kwa ajili ya kuitishia Jamhuri.

3. Tunaomba Mahakama yenu ijiulize kama Mshtakiwa alidhihirisha nia yake ya kuitishia Serikali kwa kutoa na kusambaza maneno.

Haya ndiyo tunaomba Mahakama ijiulize.
Yaani anaiachia mahakama badala yeye aliyetumwa na CCM kuthibitisha hayo makosa mbele ya mahakama? Ama kweli hawa majaji wa CCM wanabebeshwa mzigo mzito sana!
 
Back
Top Bottom