Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.Hapa katuga analenga nini
Mbona kama anamfanyia Lissu mitigating factor
Dizain fulan wanataka akutwe na hatia then adhabu asipewe ya kunyongwa apewe punishment nyingine
tena ni utoto wa kitoto kichanga mno aise,chadema wanaleta utoto
wanataka mahakama imkute na hatia ila adhabu isiwe ya kunyongwa na wamzuie kugombea Uraisi 2030 ndio mpango wao huo, read between the line ndugu yangu... Hio ndio mpango wao kwa sasa, I can clearly see and smell the rat, hii case inaenda all the way to Appeal court.Hapa katuga analenga nini
Mbona kama anamfanyia Lissu mitigating factor
Dizain fulan wanataka akutwe na hatia then adhabu asipewe ya kunyongwa apewe punishment nyingine
Nilidhan wanataka akasotee jera maisha yake yoteKwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.
Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
acha porojo na upotoshaji useless jukwaani nanii, plz 🐒Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.
Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Huyu wakili jau sana, hata kwenye mathematics hatukubali kabisa walahi. tuna Sample, population, set, vigroup vinakuwa ndani ya set. Sasa group of people inakuwa sawa na public ila CCM dayJamani sasa mbona hakuna updates? Au CCM wameweka mpira kwapani?
Yaani ukimsikiliza Tundu Lissu akitema nondo halafu ukamsikiliza huyu wakili wa CCM, ndugu Katuga, unaona kabisa ni kama ardhi na mbingu.
Tundu Lissu kamwaga nondo hadi maCCM wanatafutana. Hivi "a group of people" au "any person" ni sawa na public kweli jamani? Hata kama mtu hukuenda shule ndio ukubali kudanganyika kiasi hiki?
Huyu Baba anajipotezea credibility tu, km kaahidiwa kitu baadaye, ni angeweka wazi wampe tu, bila kupitia hii njia, maana wamemvua nguo na kudhalilisha usomi wake na Taaluma ya Sheria kwa ujumla.Na hapo bado yupo kwenye tafsiri ya hati ya mashtaka. Bado hajaingia kwenye ushahidi wa magari ya Heche aiambie mahakama idadi ya magari ya Heche ina uhusiano gani na uhaini wa Lissu. Leo maji atayaita mmma!😅🤣😂
Kwa hiyo, public inapomaanisha watu kwa ujumla, si sawa moja kwa moja na a group of people wala any person.Jamani sasa mbona hakuna updates? Au CCM wameweka mpira kwapani?
Yaani ukimsikiliza Tundu Lissu akitema nondo halafu ukamsikiliza huyu wakili wa CCM, ndugu Katuga, unaona kabisa ni kama ardhi na mbingu.
Tundu Lissu kamwaga nondo hadi maCCM wanatafutana. Hivi "a group of people" au "any person" ni sawa na public kweli jamani? Hata kama mtu hukuenda shule ndio ukubali kudanganyika kiasi hiki?
Wazee huwa wamenyooka sana sidhani kama watafanikiwa Hila zaowanataka mahakama imkute na hatia ila adhabu isiwe ya kunyongwa na wamzuie kugombea Uraisi 2030 ndio mpango wao huo, read between the line ndugu yangu... Hio ndio mpango wao kwa sasa, I can clearly see and smell the rat, hii case inaenda all the way to Appeal court.
hakusikii, tulia katuga anasafisha uchafu wa lissu,Katuga umesema utaenda kwenye kesi moja kwa moja ila naona unazunguka mbuyu
leo wamenyooka kesho ni maccmWazee huwa wamenyooka sana sidhani kama watafanikiwa Hila zao
Target ni hiyo, ndio maana Katuga anajistukia tu hapa Leo, maana anachokieleza wala hakieleweki, utadhani sir wa 4m 1 D Anafundisha Grammar class.Nilidhan wanataka akasotee jera maisha yake yote
Kama target ndo hii basi wamechemsha
mnatapatapaKwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.
Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Hutokuja kuona post yangu ambayo nimewasema wazeeleo wamenyooka kesho ni maccm
Jamani huyu mtu wa CCM amepagawa au nini kimemfika huko mahakamani?😳🥹🤯Waheshimiwa, ku-prove beyond reasonable doubt haimaanishi kuthibitisha pasipo kuacha kivuli.
Hiyo siyo tafsiri sahihi ya kifungu cha 3.
Wewe ndio huna unachokijua, ukipewa buku 8 ukawekewa bundle kwa tablet bas unahisi umemaliza mwenyewee, full kudemka.acha porojo na upotoshaji useless jukwaani nanii, plz 🐒
kwahiyo mnavyosema nguvu ya umma huwa mnamaanisha watu wote? hii hamchomoki aiseeHuyu wakili jau sana, hata kwenye mathematics hatukubali kabisa walahi. tuna Sample, population, set, vigroup vinakuwa ndani ya set. Sasa group of people inakuwa sawa na public ila CCM day
Ni sahihi, hata Ujerumani wazazi hawawapi watoto jina la Adolph kwa sababu ya matendo maovu ya Adolph Hitler.Wale mnaotokea kabila lile, jina katuga linatakiwa lipigwe x na lisitumike kwa watoto wenu. Oneni sasa anachofanya huyu babu.
Nani amnunulie Tablet? Vivo na Infinix za bure kutoka kwa kina Jeetu Patel na Seth.Wewe ndio huna unachokijua, ukipewa buku 8 ukawekewa bundle kwa tablet bas unahisi umemaliza mwenyewee, full kudemka.
Mxxxiiieeew.