Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

Huachagi porojo tu!?
Netanyahu amekanusha hajahusika na kifo cha Rais wa Iran.
Ila wewe mkristo wa Namtumbo unamsingizia kuwa kahusika.

Hiyo ni psychological warfare hata lile shambulio la May lilikua hivi hivi.
Kama Israel wako hawaogopi wasingewakimbiza viongozi wao katika bunkers.
 
Handaki za nn tena akati kuna ayanidomo au ni kwa upande wa Gaza
 
Nakumbuka zile bunker za Manazi za kuhifadhi U-boat zao, pamoja nakupigwa makombora on WW2 lakini bado zilibaki salama.
 
Vita vya Russia vs Ukraine na za hapo Mashariki ya Kati kuna siasa 80% na vita 20%
 
hii vita inaenda kutokea, maisha yanaenda kuwa magumu soon kwa waafrica.
 
Mahandaki ya nini tena si tulikubaliana humu sisi Wayahudi weusi kuwa Iran hawana uwezo wowote.
Kama aliyetoka kuhudhuria sherehe ya Rais alipigwa kombora kwa accurate target, unadhani ilishindikana kupiga hapo hapo wakati yupo kwenye sherehe na rais?
 
Israel ni nchi peke dunia ambayo kila nyumba inayojengwa inakuwa na bunkers kwa chini, wana bunkers ambazo 90% ya wananchi wanaweza kuingia kwenye hizo bunkers, kila nchi inazo bunkers kwa ajili ya kiongozi( bunkers ni handaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…