Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hawana hata mawasiliano nasikia Iran atawasukumia 10,000 Missiles na US kamwambia ataishambulia Iran, Iran kajibu we shambulia tu lazima pembe la shetani nilisambaze kwanza.Mahandaki ya nini tena si tulikubaliana humu sisi Wayahudi weusi kuwa Iran hawana uwezo wowote.
View: https://youtu.be/1UN4Lqvyj_A?si=K1eSxXFBlJR0OknB