Kwa nini watu wafanye ubadhiru halafu unawahamisha badala ya kuwaweka pembeni ,huyu maharage mbona watu walimlalamikia sana halafu bi mkubwa akashupaza shingo
 
TTCL ijiandae kufa kwa mala ya pili...

Maharage kaja...

Kwanini hajapelekwa mambo ya nje kwa msanii mwenzake?
Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano kila mmoja analia kwa namna yake. Kwa kipindi kifupi sana Mhandisi Peter Ulanga aliwabadikisha wafanyakazi wa Shirika pakubwa sana. Aliweza ku-transforn mindsets zao kuwa za kibiashara na kuwamotivate. Alikuja na ubunifu wa FTTH ambao pamoja na changamoto za upatikanaji wa vifaa lakini umeongeza ufanisi na mapato ya shirika. Mbali na Nkongo wa taifa TTCL ilikuwa njiani kuelekea kwenye mapinduzi makubwa. Ameondolewa Peter wafanyakazi wanalia juu ya hatima ya shirika lao na hatma yao wenyewe . Ulanga anakuwa CEO wa kwanza kuhudumu kwa kipindi kifupi sana.
 
Hii ndiyo Tanzania mtu anaharibu Taasisi X anapelekwa Taasisi Y.

Mkisema Nchi haina Kiongozi mwenye maono inakuwa shida 🙌
 
Hivi bado anaitwa Katibu Tarafa au ni Afisa Tarafa?

Wataalamu wa masuala ya Utumishi nisaidie
 
Wakati wa awamu ya kwanza Teacher alifanya hivyo tukampa benefits of the dough kwamba hakuwa na wakulungwa wenye magamba yenye kushikika na uzani wa kutosha kuingiza mashirika hivyo akatoboa.

Mzee Ruksa Mungu anajua na mkapa. Braza mkwere doo salaaaleee mbuzi na mkia wake watu walikua madiwani na wakuu wa mikoa. Huyuu Allah amuhifadhi kwani bidhaa zilivalishwa rocket na unanijua mimi nani wakatamalaki.

Jembe huyu mkono wa kuume wa baba ataketi alitufundiaha kwamba vitu vinawezekana kwa kufanyika na si kusemwa, kupangwa wala kujaribiwa.

FANYA, PATIA, ENDELEA, KOSEA JIFUNZE, ENDELEA, UKIZEMBEA UNAPITA VILE

Akatufunza kwamba Hakuna serikali kusingiziwa makosa Bali watumishi wa umma individual.

Dodo chini ya mpera dooo salaleee
 
WAKUU WA TAASISI
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, Bw. Omar Issa ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.
19. Amemteua Ndugu Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
 
Huo mfumo kipindi cha jpm mbona ulikuwepo na hakukuwa na mgao wa umeme??
Kipindi cha shetani Magufuli hakukua na mfumo wo wote unafanya kazi, hata katiba ilivyunjwa! Kipindi hicho cha huyo Jambazi kulikuwa na one man show!
 
Umelala sana! Hiyo habari haina tena joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…