Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
He was in a deep sleepHabari imeshapoa zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He was in a deep sleepHabari imeshapoa zamani.
Tiss huyo shauli yako....😂He was in a deep sleep
Yalikuwa hayaivi yanamaliza umeme busara imetumika!Wana uhakika kumuondoa uncle Maharage kutaleta umeme?
Upo akilini mwangu kabisaSalim kikeke
Ujio wa Major General Kisesa Simuli ulete TIJA kubaini ikiwa palikuwa na hujuma kusababisha nyufa katika Bwawa JNHP.WAKUU WA TAASISI
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, Bw. Omar Issa ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.
19. Amemteua Ndugu Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
TaNesCo ni dude kubwa linalotisha sana mkuuWalau sasa Nishati kutatakata kidogo..
January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..
Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Uwekezaji so ni huo wa Kinyerezi na Bwawa la Mwalimu Nyerere?Yawezekana ukawa na hoja but nakuhakikishia matatizo ya umeme nchi hayatakoma bila kufanya uwekezaji kweny sekta ya nishati ya umeme!! CCM washafeli kitambo san na tanesco yao, nakuhakikishia hata bwawa likianza uzalishaj umeme utakua ni changamoto tu!!
Salim kikeke
"Hatuna mgao wa umeme, tuna ratiba ya upungufu wa umeme"Kaboronga kwenye kipi?
Yule msukuma mbunge wa Chato,aliweza.TaNesCo ni dude kubwa linalotisha sana mkuu
Haya ngoja tuone. Isije ikawa baada ya wiki mnaanza kumlalamikia huyu mpya.Yalikuwa hayaivi yanamaliza umeme busara imetumika!
Habari Maelezo na Semaji kuuSalim kikeke
Nampongeza Mh.Rais kwa kuwa Rais msikivuWalimuona chuma JPM chizi sasa wanarudi kwenye ramani zake. Mwenyekiti bodi ya Tanesco kapelekwa Meja Jenerali! Hii nchi ukichekacheka utashtuka hata wewe umeuzwa.
Kalemeni na Muhongo mimi ninawaheshimu sanaYule msukuma mbunge wa Chato,aliweza.
Sio msikivu, watu wamepiga kelele muda mrefu.
Wewe ulitaka kelele moja tu amtoe ? ulitaka ukipiga kelele tu asijiridhishe kwa namna yake?, kama ulitaka Rais wa kukurupuka kwa namna hiyo basi vuta subira …sio Samia Suluhu HassanSio msikivu, watu wamepiga kelele muda mrefu.
Rais alithubutu kumwambia Makamba..." mwanangu wanataka nikutumbue wewe piga kaxi"
Huu sio uongozi bali hisani na sio msikivu hadi yaharibike