You guys pretend to be clever yet you just act smart...Unaposema tangazo liko pale unafikiri sikulisoma?Maharage ameshasema wanakaribisha wadau na terms zao ni umeme wa gesi usivuke 6cents per unit na IRR isivuke 14-16 percent so km huyo Ame anaweza he is welcome with open arms. Hata wew pia km una msuli wa fweza na unakubaliana na terms just go there sio kujaa kijiba na husda
Na unapojibu, usijbu kama vile una attempt exam paper; know the context behind...Ni watanzania wangapi wana uwezo wa kununua hizo stocks or shares za TANESCO hata kama zitawekwa hadharani? Je ninyi (assuming them who are decision makers, are going to buy i.e direct or indidectly) msingepata hizo opportunities mlizonazo could you have been better than the everage Tanzanians?
Tunapoongelea ufisadi upo kwa namna na jinsi nyingi, moja ikiji feature kupitia hili...TANESCO is a public institution imekuwepo kwa miaka kwa nguvu za watanzania na siyo individuals (kodi zao na manunuzi ya huduma hiyo tena kwa bei ya faida)
leo hii mnapo wapoka watanzania mali yao na kui privatize bila kuwaandaa wao kama wao ili waweze kweli kushiriki katika kui own, what should I call that if not robbing?
Then you say mpo tayari, suppose mimi nakuwa ndiyo final decision maker huko mbele nikaja kuwa implicate unafikiri itakuwa rahisi kukwepa hii case ninayojaribu kuwaonyesha?
Please and please, msiwe so abstract simply because you have been advantaged by the environment iliyo wa select randomly kwa bahati mkadhani you do not have an obligation kulinda welfare ya watanzania na interests zao kupitia mali walizozitengeneza kwa jasho na damu zao...Ni hayo tu!