Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulipanga hilo jumba bovu limwangukie nani?Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia tu.
Soon atapiga yoweBiteko kapewa jumba bovu litamuangukia tu.
Kawaida tu tushazoeaBoss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nulijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubunge kaka huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Hapo PM ameonyesha udhaifu was uongozi wake. Mkurugenzi anatekeleza wanacho muelekeza wao🤣🤣Jamaa anakaa high table afu umeme aka electricity hauko mtaani
Ila anajiamini
Ningekuwa Mimi ningeanzia site hata kinyerezi kuzuga tu🤣🤣
Wewe ulipanga hilo jumba bovu limwangukie nani?
Alete majawabu
Sasa Biteko hakijui Hilo? Au anataka muujiza gani?Hakuna jawabu zaidi ya sound tu. TZ haizalishi umeme wa kutosha kukidhi mahitaji no beating around the bush. Sasahivi kila mtu atamchukua Biteko.
Unakijua chanzo Cha shida ya umeme au unaandika andika tuu ilimradi?Ni kweli inatakiwa akashughulikie umeme na siyo kukaa mezani. Ni muda wa kwenda kukaa na watumishi wote kuhakikisha kuwa watanzania wanapata umeme. Watanzania wanataka umeme waendelee na shughuli zao za uchumi, kuendelea kukaa kwenye vikao badala ya kwenda kuumiza kichwa ya namna ya kulipatia Taifa umeme ni sawa na kuwatia umaskini Watanzania,Ni sawa na kuwarudisha nyuma wajasiriamali,Ni sawa na kukwamisha uzalishaji viwandani na hivyo kupelekea upungufu wa bidhaa na hivyo kupanda kwa Bei kwa Bidhaa na hivyo kumuumiza mwananchi. Ni kweli inamoasa aende akashughulikie suala la umeme ili kuliondoa Taifa na Taharuki ya umeme,ni kweli aende akashughulikie umeme ili watu wasipate hasara ya kuharibika kwa bidhaa zao kama vile samaki wabichi kwa kukosekana kwa umeme. Inatakiwa aende akakune kichwa ili watu wapate umeme.
Mh Rais anataka wananchi wake wanaompenda na kumuunga mkono kwa mamilioni yao wapate umeme wa uhakika,.hivyo anapaswa kwenda kuweka mipango ya kuhakikisha umeme unapatikana kwa njia yoyote ile. Ni kweli inatakiwa aondoke hapo kikaoni hadi kwenye mabwawa ya kufua umeme ili kujuwa nini kifanyike na hali ikoje na siyo kusubiri ripoti mezani bila kujuwa hata uhalisia.
O Level alisoma Forodhani....Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nulijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubunge kaka huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Hiyo ilikuwa 2014 serikali ya CCM kwa utapeli wanaongoza
Alitakiwa kuondoka na Makamba the very same day. Hata bodi ya TANESCO haitoshi ina takiwa ivunjwe.Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake.