Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Kawaida tu tushazoea
 
Watu wengi wanafikiri umeme unatosha nchi hii...
Umeme hautoshi na kwa kipindi kirefu hakukuwa na chanzo kipya cha umeme..

Tunasubiri Julius Nyerere Dam ikamilike..
Naona ile connection ya line kutoka Arusha kwenda Namanga inakaribia kuisha... Wanunue hata megawatts 400 kutoka Ethiopia unaopitia Kenya pengine unafuu utapatikana
 
Unakijua chanzo Cha shida ya umeme au unaandika andika tuu ilimradi?
 
O Level alisoma Forodhani....

Walikuwa manguli sana wa hesabu yeye na mwenzake Mavere Tukai ambao wazazi wao ni wazee wa kitengo....


Mwenzake analinda legacy iliyotukuka ya baba yake, yeye anapambana kuharibu misingi ya imani aliyiwekwewa.

Anachokipanda ndo akivunacho. Mwezi wa kwanza ni toto mpendwa haanguki mpaka aanguke mwenyewe
 
Alitakiwa kuondoka na Makamba the very same day. Hata bodi ya TANESCO haitoshi ina takiwa ivunjwe.
Hivi Kalemani Mb aliwezaje kutuoatia umeme 24/7 kwa miaka sita?? Ccm mmezidi wizi na ubabaishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…