ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nimekuuliza Maharage ndio ameleta ukame?Yeye ndie MD - hawezi kukimbia matatizo ya TANESCO. Ameweza kuirekebisha Customer care - iko vizuri. Sasa aangalie kuhusu upatikanaji wa huo umeme. Maana hai-make sense kuunganisha wateja wengi ambao hawapati umeme.
Sana Tuuuuu, Mzeee BabaFungasha virago nisikuone hapa.Ila hii kawaida sana katika kazi.
Umezaliwa kipindi hiki Cha digital hausioToka nimezaliwa sijawahi kukutana na mgao wa umeme mkali kama huu
HapanaUmezaliwa kipindi hiki Cha digital hausio
Ngoja tusubiri el ninyo, huenda ikaleta umeme..Toka nimezaliwa sijawahi kukutana na mgao wa umeme mkali kama huu
Vipi muislamu mwenzako Makamba ikaweje shosti?Kwani Biteko kapelekwa kufanya nini Nishati?
Utakuwa unawaka mara 1 kwa wiki hasa jumapiliWalisema mvua zikichelewa mgao utatuhusu, nikajiuliza hii hali ya sasa kama sio mgao basi mgao utakua kiama.
Ila ni mtu.🤔Maharage sio mboga
Inategemea umezaliwa lini.maana unaweza kuta umezaliwa juzi tu hapa na ndio maana unatukanaga mimatusi muda wote ,.Toka nimezaliwa sijawahi kukutana na mgao wa umeme mkali kama huu
Utakuwa ni mpuuzi wewe, kama nimezaliwa juzi familia angu unaihudumia wewe? angalia nimejiunga lini JFInategemea umezaliwa lini.maana unaweza kuta umezaliwa juzi tu hapa na ndio maana unatukanaga mimatusi muda wote ,.
Na bado wamekomaa nacho..kaazi kweli kweli.Wamechelewa sana ku engage private sector kwenye kuzalisha na kusambaza umeme, hiki chanzo cha maji tayari kimeonyesha kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi na hivyo serikali kupitia monopoly ya Tanesco haitaweza tena kuzalisha na kusambaza umeme effectively in a long run.
Acha ashughulikiwe ili apate akiliBoss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
Na Biteko ikaja kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nulijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubunge kaka huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Wewe acha ujinga umeme kukatika katika mara kwa mara unaona sawa?Huyo Maharage anaonewa bure tu, kuongoza taasisi za ki Africa ni kazi sana. Unafikiri angewagomea huyo aliyem suggest na yule aliyemtoa DSTV na kum appoint pale Tanesco.
CCM Bwana kazi yao kubwa ni kuiba kura tu,hawana kazi nyingine.
Kwamba kinachotakiwa ni serikali kupeleka pesa, ili zikafanye nini sasa hapo TANESCO kama kiongozi aliyepo hapo juu ni boya asiyekuwa na maono yoyote ya kuliongoza hilo shirika..?Nimekuuliza Maharage ndio ameleta ukame?
Maharage ndio mtoa pesa za kujenga miradi Nje ya vyanzo vya maji huko Tanesco?
Alishaleta Serikalini kinachotakiwa ni swala la kina Biteko na wenzie kuleta pesa Tanesco sio kukikosha Kwa maigizo ya kijinga.
Mwisho Biteko akiwa MD wa Tanesco anaweza leta Umeme?