Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

ulieanzisha uzi popote ulipo kunywa soda 5 nakuja kulipa naisi tukipata watu 10 kati ya 100 wenye mawazo km wewe hskika taifa litasonga mbele
Ni huruma wanaume kinawauma kutoa kitu kwa wake zao cjui ndo 50 50, kazi kwelikweli 🥴
 
Kwenye tamaduni za hapo kale iliaminika kuwa ili mwanamke aweze kutambulika kuwa mke bora ni lazima akeketwe na jamii ikaaminishana hivyo kuwa ukejetaji ni jambo zuri la kimila pasiwo wao kujali kuhusu utu wa yule anaye fanyiwa hicho kitendo utu waje upo wapi ?, hawa kujali kuhusu maafa yampatayo mwanamke wakati wa kushiriki tendo la ndoa au wakati wa kujifungua walicho jali wao ni kutimiza mila zao.

Ila jamii ilipo starabika na kujifunza zaidi kuhusu ubaya wa ukeketaji na ilianza kubadilika na kuachana na hiyo mila potofu inayo shusha utu wa mtendewaji .

Mahari ni kama biashara ya utumwa iliyo shamiri maelfu na maelfu ya miaka na wala haikuanza tu wakati wa ukoloni ili anza miaka mingi sana hata vitabu vya kihistoria na kiimani imeeleza hilo, lakini kadiri jamii ilivyo kuwa ina starabika ilisimama kwa pamoja na Kuipiga vita biashara hiyo

Lakini sasa biashara ya utumwa ina endelezwa kwa mgogo wa mahari ambao jamii huamini kuwa ni shukrani, zawadi, upendo, kujali kila aina ya vilemba vyema Ina vishwa ili kuticha ubaya wake kwa utu wa mwanadamu.
 
Mahari ni kipimo (testing) ya wewe kuweza kumudu huyo unaehitaji kuishi nae km Mahari inakushinda je huyo unaehitaji kuishi nae utamuweza? Wazee walioanzisha mahari hawakua mafala
Ukeketaji ulikuwa ni kipimo Cha mwanamke bora na shupavu,je walioanzisha mila hii hawakuwa na uelewa mpana juu ya wafanyayo ?

Kwa nini kipimo cha kuweza kumudu kuendesha familia iwe ni ununuzi wa binadamu mwenzako na isiwe kitu kingine ? Na kwa nini iaminike kuwa kuweza kukamilisha zoezi hilo la ulipaji wa mahari tayari utakuwa na uwezo wa kuhudumia familia ?
 
Ukeketaji ulikuwa ni kipimo Cha mwanamke bora na shupavu,je walioanzisha mila hii hawakuwa na uelewa mpana juu ya wafanyayo ?
Malaya wengi hawajakeketwa, kile kiarage kikichezacheza pale mbele mda wote mwanamke anawaza kutombwa tu nothing else, usidharau tamaduni, kwa sasa umalaya umeshika hatamu baada ya FGM kupigwa ban
 
We utakuwa na wivu si bure 🥴 wacha mabinti watolewe mahari kuwe na shamra shamra nyumbani
Wacha watoto kwa pamoja wachangiwe pesa za kuanzia maisha yao na sio pesa za kuendeleza biashara ya utumwa.
 
kila kitu wanasingizia biblia
Tunapaswa kuweka utu mbele na matumizi makubwa akili kwenye mambo mbalimbali na sio kusubiri kutafuniwa kila jambo na sisi kubaki kumeza tu hii sio sahihi kwa ustawi ulio bora wa jamii.
 
ulieanzisha uzi popote ulipo kunywa soda 5 nakuja kulipa naisi tukipata watu 10 kati ya 100 wenye mawazo km wewe hskika taifa litasonga mbele
Sawa, asante kwa hilo ndugu.
 
Ni huruma wanaume kinawauma kutoa kitu kwa wake zao cjui ndo 50 50, kazi kwelikweli 🥴
Kinacho uma zaidi ni binadamu utu wake kushindwa kuthaminiwa na kufananishwa na fedha, mali, ngo'mbe n.k
 
Malaya wengi hawajakeketwa, kile kiarage kikichezacheza pale mbele mda wote mwanamke anawaza kutombwa tu nothing else, usidharau tamaduni, kwa sasa umalaya umeshika hatamu baada ya FGM kupigwa ban
Kwa hiyo upo tayari kuona ukeketaji ukirudishwa na jamii kuendelea na huo utaratibu wa watoto wetu wa kike kuendelea kufanyiwa hicho kitendo ?

Ndugu umejifunza kweli matokeo hasi ya hicho kitendo kwa watoto wetu wa kike ?
 
Mm kwa upande wang naona mahar ni kama shukran kwa wazazi kwa kukutunzia bint yao kwa upand wang si tatizo ila tatizo ni tamaa za wazazi kwenye mahar wanachukulia kama mtaji utasikia koti la babu kanga ya bibi na ukute ni marehem tayar
 
Kwa hiyo imefika hatua binadamu utu wake kufananishwa na ng'ombe si ndivyo ?
Unajua nini mzee, ngoja nilielezee hili from Islamic point of view,,

Uislam unafundisha kwamba,,mahali ni zawadi unayompa mwanamke unayemuoa,, nielewe kwanza hapo ni ZAWADI

Zawadi ya aina gani ni huyo mwanamke ataitaja Kwa kuzingatia upendo wenu na wala sio utajiri wako, Kwa maana mahali ni mali ya mwanamke ambaye kimsingi mkishaona ni Mali yenu wote.

Kwa mfano anaweza akukuambia mahali yake anaitaji tu "Msaafu" just Msaafu kile kitabu.

Kwahiyo yale mambo wajomba na mashangazi kukaa kujadili mahali ya binti hayo mambo tumejitungia Kwa tamaa zetu wenyewe

Familia ilibidi imuache binti mwenyew aamua anataka nini au kiasi gani cha fedha kulingana na ananvyoujua uchumi wa mpenzi wake

Kinyume na hapo ni tamaaa tu, na cha ajabu zaidi familia zinazijiweza kiuchumi ndio huwa zinataka fedha nyingi kama mahali ya binti yao, wanahela ni wasomi lakin wanamfanyia biashara binti yao.

Haya mahaangaiko yote duniani ni mawili,,hatufati maelezo ya mungu au tunafanya tuliyokatazwa na mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm kwa upande wang naona mahar ni kama shukran kwa wazazi kwa kukutunzia bint yao kwa upand wang si tatizo ila tatizo ni tamaa za wazazi kwenye mahar wanachukulia kama mtaji utasikia koti la babu kanga ya bibi na ukute ni marehem tayar
Sawa, Ila inatakiwa kuupa nafasi zaidi utu wa binadamu una dharilishwa kupitia muendelezo wa biashara hii ya utumwa kupitia mahari.
 
Asante kwa mchango wako ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…