Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Inasikitisha sana
Inasikitisha sana hasa pale mjinga mmoja anapodanganya wenye Akili bila kujua kuwa anajidanganya mwenyewe.
 
Bado Sana DStv na tanesco wapi na wapi. Shirika lilipazwa kupata injinia kbsa wa fani. Hyo ya umeme siyo mtu wa masoko
 
Presentatio ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe.... tuwape muda... mambo mazuri hayataki haraka..
 
Aliweza,huu mgao unatengezwa na nikuhakikishie The Boss huko mbeleni zinarudishwa Symbion na Agrekko,rejea ziara ya rais wako Marekani
Sasa sumbion siwamesha inunua mitambo irejeshwe Mara ngapi
 
Huu mgao wa Umeme unatuathiri sana kiuchumi hasa sisi tunaoendesha Biashara zetu kwa kutegemea Umeme, Mimi binafsi uchumi wangu umeshuka sana kwa kipindi hiki cha mgao wa Umeme, ifike sehemu Mamlaka ya Mapato(TRA) watupunguzie Kodi kwa kipindi hiki, la sivyo tunakwenda kuua Mitaji ya Biashara.
 
Tumepigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na shingoni
Nchaa Kali snaa hakuna md pale Ni maharage matupu haswa eti anasema hata south Africa kuna mgaho alfu anataka kuleta hoja za kupandisha Bei ya tarif pumbavu Sana

Jmn magu, magu magufuli pmj na ukatili wako ila kazi zilionekana huu upuzi haukuwepo kwa miak mitano mfululizo
 
Presentatio ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe.... tuwape muda... mambo mazuri hayataki haraka..
Sikatai,ila ni kwanini alianza kuikingia kifua?,eti hiyo ni automatic,hakuna aliyeitengeneza,hasa pale kwenye kale kamfumo e_connect

Kuhusu bwawa la Nyerere pale alijua ni pagumu akaamua kuweka presentation kuonyesha mambo huko ni shwari,yasiwepo maswali Magumu,kifupi hatoshi hapo,yeye na bodi nzima ya Tanesco,waondolewe haraka sana
 
Upezi San watolewe nduki akauze vingamuzi za DStv

Mkp huyu jamaa anaondoka taifa litakuwa maskini kuliko vipindi vyote
 
Ukiwasikiliza unaweza dhani watu wa maana kweli.

Mie niliukuta mdahalo kati wakati natafuta taarifa ya habari ITV YouTube.

Niliposikia tu analalama unit cost wanauza 33% chini ya production costs, halafu hapo hapo wanawekeza kwenye vyanzo ambavyo unit costs zake ni kubwa mwanzoni, na uwekezaji wenyewe ni private (ndio ubia wenyewe) halafu anasema TANESCO ni 100%, nikaona sina sababu ya kusikiliza upuuzi unaofuata.

Hivi wanadhani Magufuli alikuwa mpuuzi kutoipa miradi mingine yeyote kipaumbele na ku focus kwenye mmoja tu ambao ukiisha ni mwarobaini kwa miaka kama kumi ijayo, wengine waongeze vyanzo vingine ndani ya huo muda wakati tunajimudu.
 
We kila sehemu umeshawahi kuajiriwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…