Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

 
Kuna cha kujifunza hapa; baada ya hapo hukuanzisha mahusiano mengine?
 
Faida nyingi sana hata hazielezeki, ni Mungu alikuwa upande wangu

Hata hizo hasara chache kwa sehemu kubwa ni ujinga wangu mwenyewe
Pongezi kwako, wapo wengine wanalia mpaka leo, wamezurumiwa mpaka watoto.
 
Huwa nasoma comments zako inaonesha umepata mwanamke bora. Wengine humu wamejaa hasira na chuki kwa wanawake kumbe ni magarasa waliyookota huko yamewanyoosha. Hongera sana.
 
Unaishi kwenye maono ya 50 cnt
 
Namba nne nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…