Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Hahaha na wewe si ulikuwa unajiweka kifogo fogo
Acha uletewe ma invoice tu hakuna namna
 
Mkuu ulimchonchi chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini kilikufanya ujisikie haupo salama?
 
Dah..!!! Broh, hii alimanusra iwe kimasihara..!!! Lakini inaingia kwenye ule uzi wa kama umewahi kughairi kunyandua na sababu ilikuwa nini..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…